Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,315
- 7,762
Sio bange hiyo ni Dose power ( valium)Yaani serikali inapopiga marufuku bange muwe waelewa.
Huyu akichunguzwa uwezekano wa kukutwa anatumia bangi ni mkubwa.Sio bange hiyo ni Dose power ( valium)
Hawa madogo mbona kama wa kanda ya ziwaKijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Dasilam kakaHawa madogo mbona kama wa kanda ya ziwa
Wahuni wote siku hizi wanatembea na kisu, yule muigizajo aliuliwa na kisu, yule mjeda kawe aliuliwa na kisu pia nk wengine hawafahamiki ila kupigwa kisu cha shingo au jicho siku hizi simple sanasasa wanatembea na visu vya kazi gani?,,
enwei poleni wote mtakao guswa na msiba huu
Ndio man serikali inakataza bangi Kwa kweli ni mtihani sana, lakini haya mambo haya, ukiona mumeo au nduguyo anacheza kamali au kuvuta bangi kaa redeHuyu akichunguzwa uwezekano wa kukutwa anatumia bangi ni mkubwa.
Maandiko ya MUNGU yalisha toa maelekezo tuishie unapo kaidi kia tayari Kwa loloteWakiambiwa kamari mbaya hawaelewi
Maandiko yamekataza kamali, kila siku yanapingwa kwenye sehemu za ibada ila tunajifanya kwenda na wakatYaani serikali inapopiga marufuku bange muwe waelewa.
Hakuna kuilaumu ccm kaka kazi zimejaa vijana hawataki kubeba zege ccm ifanyeje? Mfano hapa zenji kazi za kirekebisha miundo mbinu Kwa sasa ni nyingi sana lakini vijana wanataka kazi ya kula ofisini na elimu mtitiMafanikio ya CCM hayo...
Ajira za Kamali+Kubeti=Viwanda vya kati vilivyoajiri watu wengi sana...
Kaka ukiona kwenye familia Yako Kuna bangi smoker, au dawa asee omba MUNGU sana kubadilikiwa ni kigusaInahuzunisha sana kwa kweli
TrueNdio man serikali inakataza bangi Kwa kweli ni mtihani sana, lakini haya mambo haya, ukiona mumeo au nduguyo anacheza kamali au kuvuta bangi kaa rede