Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
And that is my husband....... Mwaaaaaaaaah
I love u Mama J n N.
And that is my husband....... Mwaaaaaaaaah
Nina ota ndoto mchana huu au nini kinaendelea hapa.
hilo nalijua 100% wala halina mjadala.
si unaona sweetlady naye anavyoelekea kudata?
ha haaa, unafikiri shem wangu Nicas Mtei anahitaji super glue? yaani wewe cheza kwa step tu, baaasssssiiiiiiiiii!
kwa maelezo zaidi mtafute mdogo wangu snowhite akumegee step zinazowadatisha
Toa tamko
niko hapa nalingojea
I love u Mama J n N.
Weka kwanza hilo panga chini Mamndenyi, atatoaje tamko nawe umeshika panga mkononi khaaaaaa!
unataka ofa gani?
ha haaa, usivunjike mbavu bana.....
shem wangu Nicas Mtei hatanisamehe kwa kuvunja mbavu za mupenzi..... chezeya penzi weye....
tangu mdogo wangu snowhite atangaze kuacha ubaunsa (eti tunajiandaa kwa jr.) basi nimekuwa muoga kweli...... sina wa kunitetea, kwa hiyo inabidi nifiche bawa langu mwenyewe, lol!
kwa hiyo hata harusi umeninyima?! teeeeh!!! kweli mtei ni mtei tu!
sweetlady we ndo waniminyia jicho bana naona unataka nikupende kwa lazima sijui Nicas Mtei hakutoshelezi na jana uliniomba offer ya kwenda Kibo palace sijui ukale chakula cha kienyeji
Wife Mamndenyi achana na huyu bana anaomba offer za kahawa chungu
nilibakiza dakika kidogo sana kwenda kujilipua kule siasani
nile ban ya milele, but now i am ok, asante.
Harusi ilfanyika kimila
Kukutoa kucha na meno bila ganzi na kukuondolea kifanyio chako kipeperushwe na panya we Nicas Mtei
Kukutoa kucha na meno bila ganzi na kukuondolea kifanyio chako kipeperushwe na panya we Nicas Mtei
hahahahahaha. Ameshka ile mundu ya kukatia majani
Thibitisha ulichoandika vinginevyo majungu dot com kama ya Baba V
Na kwataarifa yako kwa Nicas Mtei ndio nimefika kigoma mwisho wa reli, ananipenda nampenda hayo majungu yako wala hayasaidii , ni upepo tu utapita!

Hapa ni bila ganzi kwani upewe upendeleo wa bure ni kukuondolea kucha na meno na kifanyio bila ganziKama ni kutoa kifanyio basi mruhusu Mamndenyi aje akitoe. Aje na ganzi kwa ajili ya kutoa kucha na meno.