Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Mh........ ( Nimenuna )
charminglady ni shem wangu. Wewe ni mke wangu. I hope unajua vile nakupenda na kukuheshimu.. Nitalinda kiapo
Last edited by a moderator:
Mh........ ( Nimenuna )
charminglady ni shem wangu. Wewe ni mke wangu. I hope unajua vile nakupenda na kukuheshimu.. Nitalinda kiapo
Atakuja wapi sasa?
naona, si mchezo, lol!Wifi ako huwa sikuangushi linapokuja suala la kuchagua mume ati
hilo nalijua 100% wala halina mjadala.Pamoja. Mdogo wako amehamia mgombani. Unadhan ilikuwa kaz ndogo kumuhamisha? Ni Love n Care pa1 na mengine mengi.
naona, si mchezo, lol!
shikamana my dear
tumeambiwa tuchague offer, ndo tupo kwenye mchakato....Nina ota ndoto mchana huu au nini kinaendelea hapa.
ha haaa, unafikiri shem wangu Nicas Mtei anahitaji super glue? yaani wewe cheza kwa step tu, baaasssssiiiiiiiiii!Nishashikamana wifi..... Ukiweza niletee super glue nizidi kujigandisha manake hapa nimefika
tumeambiwa tuchague offer, ndo tupo kwenye mchakato....
na wewe unga tela rafiki, chagua yako
umeona eeehhhh!
ha haaa, nani anataka ngumi saa hii?Hahahhahhaha.....wifi nimecheka kwa sauti lol.... Sikutegemea jibu fasaha kama hili hahahaha
lakini tusilaumiane baadae....niko ofisini kwa Rutta hapa nampa maelekezo ya mwisho.kabla hajaandaa hati ya mashitaka....na kwa taarifa anasema kwamba huchomoki hapa......halafu nimemwona Passion Lady hapa analilia lunch kwa rutta badala ya kumwacha ahadumie watejaTukutane mahakamani mpalu