Amri kumi kwa wapendao ofa

Amri kumi kwa wapendao ofa

ha haaa, unafikiri shem wangu Nicas Mtei anahitaji super glue? yaani wewe cheza kwa step tu, baaasssssiiiiiiiiii!
kwa maelezo zaidi mtafute mdogo wangu snowhite akumegee step zinazowadatisha

Hahahahaha..... Sante kwa ushauri wifi langu.... Nitaufanyia kazi kwa moyo mkunjufu lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha..... Unanivunja mbavu mwenzio lolest
ha haaa, usivunjike mbavu bana.....
shem wangu Nicas Mtei hatanisamehe kwa kuvunja mbavu za mupenzi..... chezeya penzi weye....
tangu mdogo wangu snowhite atangaze kuacha ubaunsa (eti tunajiandaa kwa jr.) basi nimekuwa muoga kweli...... sina wa kunitetea, kwa hiyo inabidi nifiche bawa langu mwenyewe, lol!
 
Last edited by a moderator:
tamko ni kuwa natoa ofa kwa atakaye na ofa hazina masharti ni just ofa kwa yeyote#
Wacha wivu dear ni mimi na wewe tuu hao wengine ni wauza chai na majungu tuu kama sweetlady hana lolote

We we we...... Una uhakika sina lolote? Hilo jicho waniminyia la nini kama Mamndenyi ndie zaidi?
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, usivunjike mbavu bana.....
shem wangu Nicas Mtei hatanisamehe kwa kuvunja mbavu za mupenzi..... chezeya penzi weye....
tangu mdogo wangu snowhite atangaze kuacha ubaunsa (eti tunajiandaa kwa jr.) basi nimekuwa muoga kweli...... sina wa kunitetea, kwa hiyo inabidi nifiche bawa langu mwenyewe, lol!

Hahahahahaha..... Hivyo hivyo dia wangu manake wengine kupigana sio fani yetu lol.... Tunacheza tu na maneno bhaaaaasi
 
Last edited by a moderator:
nilibakiza dakika kidogo sana kwenda kujilipua kule siasani
nile ban ya milele, but now i am ok, asante.

tamko ni kuwa natoa ofa kwa atakaye na ofa hazina masharti ni just ofa kwa yeyote#
Wacha wivu dear ni mimi na wewe tuu hao wengine ni wauza chai na majungu tuu kama sweetlady hana lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom