Amri kumi kwa wapendao ofa

Amri kumi kwa wapendao ofa

Mr.mzumbe kamwene.....
usichungulie tu kimya kimya na wewe toa au omba ofa.....
 
Last edited by a moderator:
nilitaka nishangae kuna watu wanatoa ofa huku halafu King'asti asitokee! hii isingekubalika kabisaaaaa
hii habari nahisi na Kongosho imempita
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, kwa kweli hii ilinipita

Ofa ngumu, hasa kwenye kucheka hata kama kichekesho hakichekeshi
umeona eeeh!
utafanyaje sasa na wewe unataka upelekwe juani?
itabidi kufanya hayo tu ili upate utakacho, lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom