sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Hahahahaha.... Lolest
Last edited by a moderator:
Daddy naye anakusalimu "little miss sunshine"...usijali baadae atakuja na mama nyumbani kukusalimu
She is my wife. I have an authority to defend her popote pale..
lakini tusilaumiane baadae....niko ofisini kwa Rutta hapa nampa maelekezo ya mwisho.kabla hajaandaa hati ya mashitaka....na kwa taarifa anasema kwamba huchomoki hapa......halafu nimemwona Passion Lady hapa analilia lunch kwa rutta badala ya kumwacha ahadumie wateja
aya bidada.........lakini punguza kudeka na wewe
Gusa mke wangu uone nitakachokufanya.
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi KUMBUKA Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.