Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
ni sawa tu mi situmii kitu ingine
hahahaha. Ndo uwezo wake umekomea hapo .na hauwez kutumia kitu ingine wakat umepewa ofa ya kahawa.
ni sawa tu mi situmii kitu ingine
hahahaha. Ndo uwezo wake umekomea hapo .na hauwez kutumia kitu ingine wakat umepewa ofa ya kahawa.
Hahahahaha mchaga na kahawa toka lini jamani aaaaaaah, si useme tu Mr Rocky hana hela khaaaaaa
Mbavu zangu lol.... Atumie kingine alipe mwenyewe lol
tatizo sijui niseme ni ushamba au utaona nimeenda ndani sana
hapa bongo nenda mlimani city kikombe kidogo cha kahawa ni shilingi za ktz elfu tano
sasa sijui ulanzi unaotumia na huyo mpenzi wako Nicas Mtei lita moja ni bei gani
imekuwa aghali ni sh mia tano tu,
watu tupo kwingine jamani usishangae kahawa, mumeo kweli hanunui kama
uongo tukutane m/city saa moja jioni uone.
Kwa hadhi ya watu8 hawezi kutembelea kibaby walker aise yaani yule ni mtu wa V8 na Vogue may be alimpa house gal wake
Hebu mkwe na mpwa tafuta list ya mabilionea wa Chitchat...hivi hujui umeoa familia ya kitajiri wewe!!!
Dady douta anakusalimu......kisha amekumiss