Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
hongera lakini uchoyo acha!
manake za kimila ndio hazina hata michango na watu twaja tuuuuu
mila gani hizoo
Mila zetu hzo

Au niweke risiti za chakula cha jana ulichokula zina muhuri wa kibo palace na jina lako sweetlady aka kimodo kuthibitisha kuwa hakuna udanganyifu na picha za waliokuwa wamekaa na wewe meza moja na namna ulivyoondoka na chupa ya wine pale mezani kisa eti huwezi kuacha pesa ipotee bure
Wapi wewe eti kwa Nicas Mtei nimefika kwa nitonye ulisema hivyo hivyo na kwa Chimbuvu hivyo hivyo na kwa zile nyumba ndogo zako zote

Kudadadeki. We mjamaa unajua kutengeneza matukio. We ndo Mwagulu Manjemba?
Paloma nawe acha kumsumbua husband bana, tunajipanga kufanya nyingine ya kimjini mjini hivyo usijali, andaa tumbo tu
poa poa! hongera kwa kujipatiamo mume!!!
Honey Nicas Mtei hebu mwambie huyu jana tulikuwa wapi siku nzima mimi na wewe

Ndo maana nzi anakuambia ukijua huu wenzio wanajua uleeeeee halafu anaruka zake Nicas Mtei fungua macho uone

Ulikuwa nae baada ya saa za kazi ila wakati wa kazi uko kibo palace unakunywa wine ukirudi home big gee kwa sana eti hata mumeo asijue umetoka wapi sweetlady
Siku nzima ya wapi wakati unadanganya unaenda kazini ukifika kazini unamdanganya boss una important meeting nje ya ofisi kumbe unaishia kibo palace
Responsible wife.

Niliapa kuwa nawe bega kwa bega, kwa shida na raha