Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,547
Aliyegawa ubunge ni charminglady. Mfuate umpe ofa
Wewe nae sijaongea na wewe, hao si watoto wa baba mmoja...
Last edited by a moderator:
Aliyegawa ubunge ni charminglady. Mfuate umpe ofa
Wewe nae sijaongea na wewe, hao si watoto wa baba mmoja...
Naenda kumuona Ruttashobolwa aniwakilishe kwenye hii kesi na nampa ofa ya kukutembelea kwako
Wapi sweetlady mume wa kubandika tuu huyo tunamjua mumeo halisi ni nani hapo unamchuna tuu Nicas Mtei
mhh FP wewe sema ofa gani unataka hata kama ni ya kwenda kutalii Hawaii utapata
Ilikuwa enzi hizo anakuchuna tuu wala alikuwa hana mpango na wewe ukajipendeleza weee mpaka ukauza kivitz chako kisa umpate na akakutosa vile vile
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi KUMBUKA Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.
Tulishakuwa mwili mmoja, anaruhusiwa kunisemea, naruhusiwa kumsemea..... Una jingine?
Wewe nae sijaongea na wewe, hao si watoto wa baba mmoja...
Nakala kwa JF Rock City Wing.... Naomba next meeting niwe mtoa ofa ili nifanyiwe haya yote....
Mmesikia wooote... ram, Rock City, Home First, Elizabeth Dominick, ThinkPad na wageni wote watakaofika!!!!!!
charminglady unapenda kusifiwa sana ehee?Nakala kwa JF Rock City Wing.... Naomba next meeting niwe mtoa ofa ili nifanyiwe haya yote....
Mmesikia wooote... ram, Rock City, Home First, Elizabeth Dominick, ThinkPad na wageni wote watakaofika!!!!!!
Tangu akubali kubambikiwa mtoto unajifanya unampeeenda...!! kumbe wizi mtupu.
Kwa hadhi ya watu8 hawezi kutembelea kibaby walker aise yaani yule ni mtu wa V8 na Vogue may be alimpa house gal wake
Tangu akubali kubambikiwa mtoto unajifanya unampeeenda...!! kumbe wizi mtupu.
ofa za nini kwani,
si umemshindwa hata mrembo wangu
au nasema urongo.
Huu ni wivu uliochanganyika na majungu
She is my wife. I have an authority to defend her popote pale..
Ana tabia za ndugai.
Thanks sweetheart....... Mwaaaaaaaaaa
Au mwigulu nchemba