Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

poleeeee!!!!umefuliaaa!

najua mnayasema yakuyasemaa

ngoma hii isimame safarini

safari hii ya wawili

safari hii mapenzini!
Mwe mwe mweeeeeeh!! Basi mama nimekoma.
 
Ngoma droo. Hakuna mwanaume au mwanamke wa peke yako. Kila mmoja aburudike Nje jioni mnakutana. No stress. Binafsi nimeishi maisha ya uaminifu sana. Baada ya kugundua wanaume ni mapeli wa mapenzi basi kuanzia sasa nina revise jinsi ya kuishi na viumbe wanaume.
Uaminifu toka moyoni.
 
Mi ndo mana suala ka kuoa naona mtihani zalisha kila mtu ale kona
 
Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
mke wake tu ndo kiruka na njia thats why kaja hapa kujifariji. wangapi wapo kwenye ndoa zao wametulia na waume zao for more than 10 years na hao wanaume wa nnje wanawaona wakawaida tu (hawana wasichokua nacho waume zao)
 
Utakuta yeye ana wanawake kibao ila ye kuonjewa inakua nongwa ha ha ha
umeona ee!? pengine labda huo msemo alousema hapo HAKUNA MWANAMKE WA PEKEYAKO alimaanisha HAKUNA MWANAUME WA PEKEYAKE. cuz most of the married women respects their marriage (barely cheat) tofauti na wao wakiwa kwenye ndoa wanapenda kuonja onja kila K ipitayo mbele yao.
 
Back
Top Bottom