Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Ila wanaume wa peke yako wapo eti?
Hivi mbona wanawake tunawakaba hivyo!! Si muachane na sisi mfanye mambo mengine.
Hahahahaaa...
Ndo maana nimeamua nitafute BUSARA sana ili niweze kuoa angalau 1/10 ya aliyekua na BUSARA zaidi.
 
Umekosea tutake radhi..hakyamungu mume wangu anavyojua kunitomba vizuri hata siwazi kuwa na mwanaume wa pembeni loooh nikitafuta nini??
 
Kwann uwe peke yako? Watu wanahubiri upendo kila cku nyie mnahubiri ubinafsi
 
Hizo ni training anazopata ili kuboresha ndoa yenu,.... Mbona hata makazini watu wanapataga vijisemina? Atabaki Kuwa mkeo tu, ila hivyo ni visemina tu, vinasaidia sana mkeo akijengewa uwezo....
 
Back
Top Bottom