mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Ndo unahitaji ushauri tukuambie cha kumfanya
Bado unamuangalia?
Nifanyeje jamani?
Kwa nini na natangaza biashara miye...
Karudi peke yake sijui kasahau nini na mpaka sasa simuelewi maana kakaa kimya namwangalia Kwa uoga hapa
Yapata mwezi
sasa baada ya kubeba vitu vyangu na kuondoka Kwa dharau na kusahau wema
wangu nilioutenda kwake kwani nilimtoa akiwa Hana hata darasa moja ila
sasa nimhitimu wa chuo kikuu. Baada ya malalamiko na kumtafuta kila kona
bila ya mafanikio eti Leo hii amerudi, sijamsemesha chochote na
namwangalia tu sijui nimfanyeje jamani?
ahaaaaaa wanaume mlivyo weak usiku yataisha
Sialikuachia uhai, sasa amerudi kuuchukua.
Yapata mwezi sasa baada ya kubeba vitu vyangu na kuondoka Kwa dharau na kusahau wema wangu nilioutenda kwake kwani nilimtoa akiwa Hana hata darasa moja ila sasa nimhitimu wa chuo kikuu. Baada ya malalamiko na kumtafuta kila kona bila ya mafanikio eti Leo hii amerudi, sijamsemesha chochote na namwangalia tu sijui nimfanyeje jamani?
Mh, sijui yani kila movement nafuatilia what will happen next.nani aanze kulala au niripoti police au nimburuze nimtoe nje. Mbona mpaka sasa hajasema chochote nimfanyeje huyu.mbona simuelewi
Dear huwezi kuishi na mkeo kama mlifunga ndoa, kwa kumtizama tuu. Somebody has to humble and God will exalt him/ her. So kama yeye yuko kimya na hana la kusema then you dear humble your self by breaking the silence and talk to her. Ukinuna na yeye akinuna mnaonyeshana kawa wote ni wababe na kuingiza fikra za kishetani. Ongea na mkeo mjue kisa.na mkasa kilichomfanya aondoke ukishajua , muulize sasa kwa.nini amerudi , make sure wakati unaongea nae isiwe kijeuri , just relax kwa kuondoa hasira zote, akikueleza ooh kule sikupata nilichofikiri, na blah, blah kwa wingi , wewe msikilize tuu , akiwa ameongea Huku una process kichwani mwako. At the end akiomba.msamaha kama utamsamehe na kumkubali tena hii ni juu yako, naomba ufuate moyo wako utakavyosema, na kama ukiona you can't her back lakini umemsamehe pia hii ni moyo wako. Ndugu kama kwa namna yeyote vile mkarudiana naomba mkapime afya zenu , especially ya huyo aliyetoka nnje,huwezi jua amekuletea nini kwa kurudi kwake. Na kama mkiamua kuachana basi achanane kwa Amani sio kwa ugomvi na kununiana . Kuwa a Peace maker my dear and not a Peace breaker. Na ninajua its not easy, kumkubali MTU aliyekusaliti ,but piga moyo konde kwa kufanya kile utachokiweza , na usichokiweza basi acha . Pole sana kwa yaliyo kusibu, yana mwisho wake, okay. Kila la heri. Thanks!

Nilisema wazi kuwa " I am finding you , I will get you and I will kill you" lakini amerudi mwenyewe nimfanyaje?

Mimi penda sana wewe mamyto..ushauri makini.
Ahhhaaaa sio vizuri