Amerudi sijui nimfanyeje

Amerudi sijui nimfanyeje

. ......... kwani nilimtoa akiwa Hana hata darasa moja ila sasa nimhitimu wa chuo kikuu.,........
Yaani ulimchukua akiwa hajaanza hata darasa la awali, haukumtendea haki. Manake ni wazi hata utoto wake hajaupitia, probably, ndio yupo kwenye childhood kwa sasa.
 
nduguzanzgu mm nimgeni humu ila sina kamba mguuni , nilikuwa naomba munisaidie jinsi yakuanduka post ili waione watu wote , mana naona chenga tu

C hyo imeonekana na tumeiona au wataka nn tn
 
Kaja kuchukua uhai wako........ sepaa mapemaaaaa oooohoooo:llama:
 
Sasa ndugu hamkuzungumza chochote tangu jana,leo umemwachia nyumba kama jirani au nani na kwa makubaliano gani?Hujui na hatujui kwanini karudi je akiamua kuchoma nyumba au akifungasha kilakilichopo?Je hata kwa taratibu za kwenu mwezio alieondoka akirudi hivyo hakuna protocol za kufuata?Au mmekutana baa mkaachania baa vilevile?Hii issue si ndogo usiibebe mwenyewe:Option ya kumuua sio kabisa haitakusaidia chochote zaidi ya kufungwa maisha au kuuwawa muwatese watoto (kama mnao)Vunjeni ukimya akueleze kafuata nini?Vinginevyo asije kukuangamiza.Kupima afya kwanza in case of any reconciliation.

Nimewaambia wazazi wangu na wake wakasema nisimsemeshe nimwache jumapili watakuja na kwa Leo wanatuma mtu aende pale nyumbani wakati mi nikiwa huku kazini akazungumze nae, mi nmechoka jamani cjui kipi kitafuata
 
Ni sawa ila kwa kipindi hiki ni bora akakae kwa wazazi wake mpaka hiyo Jumapili.Kwanza ni hatari kuendelea kukaa nyumba moja kabla ya utatuzi wa jambo hili,Mkijibizana kidogo hasira uliyo nayo inaweza kukupeleka usikotarajia.Kama wazazi wanakaa mbali wasiliana nao akae hata kwa ndugu wa upande wake alie karibu;Ni kipindi kigumu jitahidi sana kucontrol temper na usinywe pombe nyingi kama ni mnywaji.Mlikuwa na ndoa inayotambulika? Huyo anaekwenda kuzungumza nae aondoke nae.Tumia huu muda mpaka Jpili kutafakari moyo wako unataka nini.Mwisho wa siku mwamuzi ni wewe ingawa kila mtu anaweza kukupa mawazo tofauti utakepima ni wewe kuona muamue nini kama hatima ya ndoa yenu.Pengine kadanganywa akifikiri kwa graduate mwezie maisha yangekuwa bora kumbe sivyo but ni LAZIMA awe muwazi kwako ni wapi alikuwa na kwa nini afanye hivyo.Vitu alivyofungasha karudi navyo?Kuna type ya wanawake huwa wanakusanya na kutoroka na vyombo vya nyumbani kila wakati na kurudi kuomba msamaha maisha yakishakuwa magumu.asikupitishe njia hiyo-hutapiga hatua!Pole sana
 
Asante sana ushauri wako nimzuri sana.Asante sana
 
Ua kabisa kisha maiti yake ichome moto iwe jivu
 
Ukisikia ukubwa ndo huo! Kuna wakati mtu mzima unakosa majibu kwa hili huliwezi peke yako, kama alipotoweka hakwenda kwa wazazi au ndugu zake basi huyo hana sifa ya kuwa mwanamke!
 
i support you mkuu,yaani kama hakuwa kwa wazazi au ndugu huyo hafai kabisa labda alikuwa kwa buzi lake huko na maisha aliyoyategemea hakuyakuta nfo maana amerudi kwa jamaa.
 
Kweli kuwa uyaone, sio maghorofa lol! haya maisha yetu haya, kweli 'life is a teacher, the more you live the more you learn' ndio maana vijana walio wengi hawaoi wanagegeda tu na kuchapa lapa.
 
watu wengine bhana mnatoa summary ya mnayokumbana nayo as if humu tunajua kilichokuwa kinaendelea.

umeona eee yan hapo ni kama amehitimisha kitu ambacho hatujui chanzo chake
 
Kuingilia ugomvi wa wapendanao ni hatari sana tena unaweza geukiwa uliokuwa unatoa msada kuonekana ulikuwa unataka kuwaachanisha
 
Yaani ulimchukua akiwa hajaanza hata darasa la awali, haukumtendea haki. Manake ni wazi hata utoto wake hajaupitia, probably, ndio yupo kwenye childhood kwa sasa.

hahahahahahaaaaaa.....kweli JF ni stress remover,nimecheka mpaka baas
 
Ni mimi yanenitokea na kweli nawaambieni ipo siku mtayaona haya yanawatokea hapo ndipo utajua maumivu na majonzi yalionipata kweli sio suala dogo
 
Back
Top Bottom