Amerudi sijui nimfanyeje

Amerudi sijui nimfanyeje

Asante sana, kweli ni Hali ngumu sana ukiangalia Aibu aliyiisababisha kwangu na Kwa familia yangu nimekuwa gumzo mdomoni Kwa watu wengine walithubutu kunidhihaki Kwa namna walivyoweza kiukweli nina wakati mguu kwani nikimuacha aende nitaumia sana Kwa vyote nilivyotenda kwake eti anaishi Kwa mwanaume mwingine nitaumia sana na nikikubali arejee Kama awali nitadhataulika sana. Napata wakati mgumu sana jamani sijui nifanyeje mimi

I know dear pole sana ndugu, inauma. Dear Ila kwa sasa shut down thinking about other people or what you have done for her . Follow you heart and not others the way are thinking . Ukifikiria kuhusu sisi binadamu au kwa Yale mema uliyomfanyia hautaweza kumake a right decision , naomba umshirikishe Mungu and moyo wako tuu. Sometime in life things happened for the good reason. God always removed people from your life in orders to experience His blessings l, favors and even to take you a higher level. My dear you really need to use a wisdom in this matter and not people or the seeds you planted in her life. Hebu naomba uongee.na Mungu kwanza kabla hujafanya chochote mdear. Jiweke karibu naye ,.na yeye hatakuacha kwa hili , pole sana. Funga na.maombi itakusaidia. Kumbuka the bigger of the problem you have the more testimonies you will have . Forget about human being , focus juu kwa mungu naye atasema na wewe. Asante.
 
Eti karudi,halafu Unamuangalia tuuuuuu?? r u insane what on earth goes on in ur mind.Kesho tena akiamua tu(kama alivyoamua mwanzo)kujikataa akirudi utabaki unamuangalia tuuu.USHAONEKANA FA.LA WA MAPENZI
 
Mkuu kuwa makini isije kuwa amerudi kukumaliza wewe tu...ili achukue vilivyosalia....
 
Hapa naoga niende kazini hakuna aliyemsemesha mwenzake toka Jana , ulikuwa ni usiku mrefu sana niacheni niende Kazini jamani
 
Mpk anaingia ndani wewe ulikuwa wapi jmn

Emu mtoemo bn .... utakufa hvihvi na uoga wakooo
 
Mpk anaingia ndani wewe ulikuwa wapi jmn

Emu mtoemo bn .... utakufa hvihvi na uoga wakooo

Kweli kuwa uyaone sikuwahi kufikiri hili lingetokea na lingenitokea mimi hapa nipo kazini kila kitu kimegoma sijui nitamkuta na atakua amefanya nini na ni nini kitaendelea
 
My take: Fukuzia mbali, mwambie alete ndugu zake na asema alikua wapi, na kwanini amerudi amesahau nini? Don't b weak my friend. Utakamuliwa uhai sasa hivi.
 
nduguzanzgu mm nimgeni humu ila sina kamba mguuni , nilikuwa naomba munisaidie jinsi yakuanduka post ili waione watu wote , mana naona chenga tu
 
Hakikisha huli chochote anachopika kwa sasa,wewe kula mgahawani.atakutega kwenye chakula kwa madawa,usikubali akuandalie maji ya kuoga,maana huko anaweza kukuwekea dawa za kukupumbaza akili.
Ni hayo tu.
 
Mwenzio yalishani kutanga hao, mpaka leo hajarudi, ila sasa hivi anajaribu kunitumia vimeseji vya kipuuzi vya mahaba anatamani kurudi. Sasa imepita miaka mitatu na huu wa nne. Tumezaa watoto wawili. Nalea watoto wangu mwenyewe. Ndivyo walivyo wanawake wengi. Sasa olewako umpokee kienyeji, utakuja juta.
 
Kweli kuwa uyaone sikuwahi kufikiri hili lingetokea na lingenitokea mimi hapa nipo kazini kila kitu kimegoma sijui nitamkuta na atakua amefanya nini na ni nini kitaendelea

Haaaaa......... umemuacha ndani tn nduguuuuu,? Hujipend ngj ukute kakubakishia box***er na midawa chini ya chagaaa
 
Haaaaa......... umemuacha ndani tn nduguuuuu,? Hujipend ngj ukute kakubakishia box***er na midawa chini ya chagaaa

Sasa ndugu hamkuzungumza chochote tangu jana,leo umemwachia nyumba kama jirani au nani na kwa makubaliano gani?Hujui na hatujui kwanini karudi je akiamua kuchoma nyumba au akifungasha kilakilichopo?Je hata kwa taratibu za kwenu mwezio alieondoka akirudi hivyo hakuna protocol za kufuata?Au mmekutana baa mkaachania baa vilevile?Hii issue si ndogo usiibebe mwenyewe:Option ya kumuua sio kabisa haitakusaidia chochote zaidi ya kufungwa maisha au kuuwawa muwatese watoto (kama mnao)Vunjeni ukimya akueleze kafuata nini?Vinginevyo asije kukuangamiza.Kupima afya kwanza in case of any reconciliation.
 
Back
Top Bottom