King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Hapo ndio unapokosea, kumuachia aje anavyotaka. Shut him off jumla ili mfanye maamuzi haraka na maisha yaendelee. Mapenzi ya kubipu bipu hayana maana. Alijijua ana mtoto, kilimuondoa nini? Mkubalianevisitation, la sivyo uanze process za divorce
. every after few days anakuja kwa kigezo cha kumsalimu baby. namuangalia tu.