Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
nakubaliana na wewe, lakini this is a christian marriage, nataka niwe kwenye position nzuri ili hata nikitaka kuquit natoka bila lawama yoyote, and if nikitaka kufanya maamuzi mengine ya mapenzi nisifungwe na kanisa. wazazi, wadhamini wanajua lakini naona wote wamepigwa na butwaa.mchungaji anajua pia nadhani atachukua hatua.ila sijui.. Ukimwi mmmh atajiuguza alipoupata and i wont share his viruses.
Unataka mwanaume mwingine?