Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Lazma kuna kiboko haramu kimemteka mmeo
siku pakimchachia huko atarudi tu, pole...
siku pakimchachia huko atarudi tu, pole...
Joda hakuna cha mchawi hapa wala nini, ni mawazo yako tu. Ameumia sana, ameteseka sana, amefadhaika sana kwa tabia ambayo wewe umekuwa ukiionyesha bila wewe mwenyewe kujua. Mfariji, mwambie afunguke aongee, wakati wote mwambie akuambie umekosea nini ili ujirekebishe, na vile vile mwambie kuwa bado unampenda, na unamsamehe kwa lolote lile alilofanya, mpe moyo wa matumaini ili asijinyonge na tai. Kumbuka ni wewe tu unayeweza kumsaidia mtu huyu kwa sababu wanaume wengi hawaongei sana mambo yao ya ndani kama mlivyo nyinyi wanawake, ona umelirusha hapa JF ili upate ahueni