Ameondoka nyumbani

Ameondoka nyumbani

Kafungasha virago vyake mwenyewe kwenda huko aliko, halafu bado anakumiss!!!!! Duh!!!!! Wanaume wengine ndivyo walivyo!!!!
 
pole sana tuliza akili yako kwa sasa jiweke busy kwenye kazi yako ili usije ukapata msongo wa mawazo nadhani ni upepo utapita
 
Hii hali imeanza kukua sasa ya wanaume kuacha nyumba zao na kwenda kupanga lakini inawezekana wewe ni sababu ya yeye kuwa kama alivyo eidha kwa malalamiko yasiyoisha , kutaka kumcontroll na kucontroll kila analofanya, kumchagulia marafiki na labda kumkataza kunywa pombe!kilazima kila kitu kinafanyika taratibu.
 
Joda hakuna cha mchawi hapa wala nini, ni mawazo yako tu. Ameumia sana, ameteseka sana, amefadhaika sana kwa tabia ambayo wewe umekuwa ukiionyesha bila wewe mwenyewe kujua. Mfariji, mwambie afunguke aongee, wakati wote mwambie akuambie umekosea nini ili ujirekebishe, na vile vile mwambie kuwa bado unampenda, na unamsamehe kwa lolote lile alilofanya, mpe moyo wa matumaini ili asijinyonge na tai. Kumbuka ni wewe tu unayeweza kumsaidia mtu huyu kwa sababu wanaume wengi hawaongei sana mambo yao ya ndani kama mlivyo nyinyi wanawake, ona umelirusha hapa JF ili upate ahueni
 
Mm nina wasiwasi na mtoa mada. Hebu elezea na chanzo kilicho sababisha mumeo aikimbie nyumba.
 
Nafikiri una share yake kwenye tatizo may be somehow somewhere hukuplay role yako ya umama na mke vizuri
 
Mama chukua ushauri wa ndugu KESEISI,Hakika wewe utakuwa chanzo cha mume kukimbia nyumba.Omba msamaha kwake na umwaambie akueleze ulichomkosea kwa upole na unyenyekevu wa hali juu.Please watoto wanahitaji malezi ya Baba na mama ili wasiwe MAZOMBI.
 
Mmmh joda wala hakuna mchawi hapa
Hebu jichunguze kama ulikua ukimfanyia kati ya haya mambo 3 ambayo wanaume hawayapend wala hawawezi kuyavumilia
1. Je, Wewe ni mwanamke mwenye makelele na Gubu lisiloisha?? Kelele ni sumu kubwa sana inayoweza kumhamisha mume nani
2.Ulikua unamtimizia ishu nzima ya misosi (unawezakuta mwanaume anakula kidogo tu lakini anataka kile akipendacho) sio ananunua samaki wewe wiki nzima tembele la kuchemsha
3.Je usafi wako na nyumba yako kwa jumla ukoje?? na kwa mtoto je??

Nimekuuliza haya sababu umesema hata yeye roho inamuuma ikimaanisha hakupenda kukuacha ila hali halisi unayoijua wewe au yeye imesababisha
 
Wahusisheni viongozi wa dini.....

Ikishindikana talaka inakuhusu....


Kwani huyo ndo mwanaume pekee duniani?

Mapenzi hayalazimishwi
 
Miaka 6. hapana alianza drama mbalimbali ambazo hazina sababu ya maana hasa. Alikuwa ananitafutia sababu naona, lakini ni ngumu sana kuipata kwangu. basi akaamua akaondoka, akachukua baadhi ya nguo zake akaenda kuanza new life. every after few days anakuja kwa kigezo cha kumsalimu baby. namuangalia tu.

Aiseeee nimekupenda bure kwa Ujasiri ulionao, Wanawake tunatakiwa tuwe strong tupunguze kulialia kisa kuumizwa. Wew tengeneza maisha yako na mwanao muishi maisha mazuri. Huyo hajielewi hata kidogo, atakuwa kuchanganywa akili na mchepuko wake huyo, tena wanaboa na msemo wao eti MWANAUME BILA MCHEPUKO IS INEVITABLE...Mwanaume anayejitambua hawezi hama nyumbani kwake eti kisa mke anamkwaza, Maana ya baba kuwa kchwa cha familia iko wapi kwa staili hiyo? Wew mwangalie tu na mbwembwe zake wala usimuulize anarudi lini ila trust me ipo siku atarudisha Makanyagio yake
 
Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani.

Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo wake unamuuma kwa kuniacha ila inambidi aniache tu.

simjibu. Anaamini baada ya muda haya maumivu yatatuisha na tutaanza upya.

Ananiombea nipate mume mwingine and it is a strong christian marriage.

Nimeumia sana ila sasa naona moyo umeanza kuchukulia kwamba ndiyo hali halisi, ila nimefedheheka sana kujua I married a person mwenye akili za aina yake.

Nilikuwa naamini ana akili njema sana.

Sijui nani kamloga baba mtoto.

Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi. Kama huna mada ya maana tulia kimya. nyamaza. soma michango ya wenzako
 
tehteh hata kama ni hivyo, ukiambiwa si ndiyo vizuri ili ufanyie kazi.

hata kama nikweli kuna namna ya kumweleza mwenz wako taratibu akaelewa asione kama unamdharau tatzo lake liwe kama lako vile uonyeshe kuguswa..mpe moyo taratb anaweza akafanya vizur zaid.....sio unamwambia mm sitaki coz hata nikkupa huwez chochote...wewe kama unataka hiyo hapo ifunue .t....omba ukichoka ifunike mimi nnausingizi.....
Mwanaume yeyote yule akiambiwa hamna kitu/cjasikia lolote/huwez kitu/umenichafua tu amini anaumia mpaka kwa roho usishangae akakufanyia jambo baya sanaa
 
yani ili usijepata lawama,b4 talaka aitwe thn talaka
bora na alivyohama shukuru umepata sababu
 
1403231335436.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom