Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?
Ahsanteni kwa ushauri wenu nimemwachia na sitarudiana nae ngoja nipumzike nikijisikia kuwa na mwanamke nitatafuta mwingine,ahsanteni sana.
 
Kaka laptop ndo unalia wakati uyo demu umepiga five years? Laki tisa gawa kwa namba ya days ulizofanya nae mapenzi..ikija kwa siku ni elfu ishirini usimdai..ila kama jibu ni kuanzia laki na nusu...nenda kachukue laptop yetu ...
 
Ahsanteni kwa ushauri wenu nimemwachia na sitarudiana nae ngoja nipumzike nikijisikia kuwa na mwanamke nitatafuta mwingine,ahsanteni sana.

acha tu bana na cku nyingine usigawe kama huwa vinakuuma ivo
 
Hii ndio ileee kanunua simu kampa demu walivyoachana kampokonya.

Back 2 topic
Hapo hata mimi nachukua changu seriouly hata kama tumlipendana asieee. Binafsi sipendi kupewa coz napigana nitafute but ikitokea natafuta nampa afu analeta uchizi nachukua vyangu watu wanachukua hadi mashuka... Itakuaje hiyo tanakilishi. Akuu nabeba vyangu kwa kweli
 
laki tisa ni vijisent tu unatolea povu mpaka thread kwiwkwiwkwiwkwiwkwi hela za mawazo utazijua tu umesahau jinsi miaka 3 unamkunja mtoto wa watu kama samak kambale nyoooooooooooo

Hahaaa....walikua wanakunjana bhana na utamu walikuwa wanapata wote.
 
ndiyo hadi vitop nilichukua mambo ya college hayo lakini nimnunulie mi vitu apendeze afu anisaliti nachukua kila kitu atanunuliwa vingine na mpenzi wake kwisha.....

hehe...ulienda kuvaa...ivo vitop????
 
ds story reminds me of sm1 or maybe ni yeye in disguise,nisharudisha miaka mia nanee..laptop kitu gani..mbna the girl hajadai chochote,unataka kuniambia she never invested in the relationshio??3 Good years??..NAT FAIR AT ALL...JAMAA AMEANGALIA GHARAMA,NA SIO PENZI,to me naona ni ushamba,ts like ur using her,the PC is hers only if ur bedding her,WHATS THE POINT?...if it were me,wud have let it go,mana hadi nimempa i had extra,..anyway itakuwa sio mhusika naemjua,unless otherwise...
but MTOA MADA,LET HER GO,PC KITU GANII WEWE,MDAI BASI NA NGUO ULIZONUNUA,and cash ulompa,and th places u took her,
THT GIRL STAYED ALL TH 3 YRS CZ SHE LOVED YOU,and thats what matters...anyway,nice searching for the 'perfect woman' ukishamuacha huyo

Cheers
 
brenda18 vitop nilimpa rafik yake pillow nilibeba na vitambaa vya mezani ili ajifunze usaliti ni mbaya pia hela sikudai nilimwachia.
 
Last edited by a moderator:
brenda18 vitop nilimpa rafik yake pillow nilibeba na vitambaa vya mezani ili ajifunze usaliti ni mbaya pia hela sikudai nilimwachia.

rafik ake??na we ulitaka tu wagombane
 
Last edited by a moderator:
Ni ushamba kudai vitu mlivyopeana wakati wa uhusiano.... Akianza kudai vitu vyote alivyokupa, utaweza kurudisha??

Mfano atake kurudishiwa utamu wake ataweza? Tena kidogo tu ujae kwenye kisoda
 
We mwachie tu mungu ata kubariki utapata nyingine na utampata mwenye mapenzi ya kweli kwako.
 
yani hapa umenifanya nimkumbuke
issa kijoti(R.I.P)kanunua cm kampa demu
walipoachana kampokonyaaaaaaaa!!hahaaaa!!
 
ndiyo hadi vitop nilichukua mambo ya college hayo lakini nimnunulie mi vitu apendeze afu anisaliti nachukua kila kitu atanunuliwa vingine na mpenzi wake kwisha.....

we mwanaume mbona unajidhalilisha??khahh...mara mia hat mdai laptop,VITOPU?? mwenge wanauza buku,kwelii??..ulikuwa na dhiki kiasi hicho?
 
badiebey yeye kunisaliti sio kujidhalilisha ila mimi kudai vitu ni kujidhalilisha tatizo hamjui usaliti sio halali hata adam na hawa Mungu aliwatimua edeni kanuni ni moja tu kwa wasaliti.
alafu vitop vya buku si vifahamu zaidi ya 15,000 and above.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom