Nataka kumtongoza rafiki yake, yeye ni mpotezee kabisa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu..

katika pitapita za huku na kule niliopoa binti wa miaka 24 mlokole sana na mwimba kwaya, mtoto smart hasa rangi ya andazi na akili zake zinachaji kweli kweli.

Kwa kweli binti nilimuewa sana nikaona hakuna namna acha ni mtongoze akiridhia nifanye mpango chapu nimuweke ndani.

Kweli nakumbuka nimepitia haya na yeye katika safari ya kumtaka awe mpenzi wangu ila sasa nataka kukata nae tamaa.

1: Siku niliyo muomba namba yake alikataa sana ila baada ya kumchombeza sana aliniambia nakupa namba ila sidhani kama itakusaidia chochote, pia alimalizia kwa kusema wewe inaonekana unajiamini sana na unaongea kwa msisitizo. Tukaagana.

2: Kama mwanaume niliendelea kumfukuzia ila katikati ya safari alikua ana nidisapoint sana makusudi ila alianza kujishtukizia na kuanza kuomba misamaha ya hapa na pale huku akidai sio kwamba ananikatisha tamaa.

3: Nikajua ni utoto una mzingua nikala zangu buyu kimya na kufuta namba zake, zikapita week mbili hatutafutani kabisa, siku ananitafuta akawa ananilaumu kuwa nimeamua kumpotezea ila yeye ananikumbuka sana ila alikua anaogopa kunitafuta nikakausha zangu kisela

4: Kama kijana single nikasema akijileta tena na mkumbushia ila mwisho wa siku alinijibu..
-Tuwe marafiki nika mkatalia katu katu,
- Alijibu pia labda anipe rafiki yake nikamjibu mm nikutongoze wewe alafu unidharau kiasi hicho ni kala buyu tena bize na mambo yangu

5: Safari ikaendelea namna hii baada ya muda akawa ananitafuta na kunijali huku akidai kanimiss sana , nikimwambia aje gheto au tuonane sehemu hataki nikaona anacheza na hisia zangu nikampotezea mazima.

6: nikikumbuka huko nyuma aliwahi nambia sio kwamba ananikatisha tamaa nikasema acha nimkumbushie , ndugu zangu hakika mambo ya kawa hovyo tena majibu yake mara ni asante, mara ni hapana .

7: Jibu la mwisho alilonijibu ni kwamba najua unanipenda na unania nzuri na mimi ila "hapana", japo "nikimchombeza kidogo anasema nashukuru sana na ninakupenda pia"

- japo nikimchombeza chombeza anaonekana analainika kabisa but ndiyo hivyo wakuu nashindwa kumalizia hapa au ku move on kwa huyu binti

8: mimi kama mwanaume nikaona asinipotezee muda acha nijilipue mazima, nimemuambia msimamo wangu kwake kuwa namtaka awe mke wangu na nataka ajibu kwa mara ya mwisho ni ndiyo au hapana , cha kushangaza mpaka sasa hajanijibu chochote . Na mimi nimepiga kimnya simtafuti wala yeye hanitafuti na subiria jibu moja tuu kwake na nimempa muda afikirie ila hakuna majibu yeyote toka kwake.

Nimepoteza naye miezi nane mfululizo nikimfukuzia bila majibu yeyote ya kueleweka. nia yangu kweli ni kumuoa yeye ndugu zangu. mpaka nakuja kuandika hapa nafikiria kumtongoza rafiki yake na nimle kabisa maana hawezi kucheza na akili yangu mimi kama mwanaume.

Naombeni ushauri wenu wakuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Rafiki una akili kweli? Huyo mkule ndugu yake ndio mrejesho mzuri zaidi
 
Mleta mada una umri gani?
 
Miezi nane unamtongoza mwanamke mmoja tu! Mbona mnapoteza muda wa mambo mengine ya maana ? Mwanamke akikukubali kamwe hakusumbui na hakuzungushi hovyo, anakubali chap maana nae hataki apoteze hiyo nafasi, huyo hakufai atakusumbua sana , tafuta chombo nyingine tambaa nayo
 
Kwamba umeamuwa "kumla" na si kumuoa rafiki yake ili umkomeshe huyo anayekukataa?.......kama ni ndiyo, ataweza kuhitimisha kuwa naye ulitaka kumla kwa gia ya ndoa.
 
Miezi nane unamtongoza mwanamke mmoja tu! Mbona mnapoteza muda wa mambo mengine ya maana ? Mwanamke akikukubali kamwe hakusumbui na hakuzungushi hovyo, anakubali chap maana nae hataki apoteze hiyo nafasi, huyo hakufai atakusumbua sana , tafuta chombo nyingine tambaa nayo
Sawa mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ukishamtongoza ni hiyari yake yeye kukuvulia au kutokukuvulia chupppppi. Mtiano wa kulazimisha haunogi hata!

Fanya mbinu /namna ambayo ataridhia yeye mwenyewe kuja kukuvulia kyupi na kwa namna hiyo utakuja kuona analowana kiwepesi zaidi kuliko hivo unavolazimisha utakuja kuweka mate
 
Kama binti ni bikra endelea kupambania usikate tamaa, mabinti ambao bado hua wana hizo swaga na siku akikupea utasahau yote ila kama hana bikra achana nae na drama zake.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu..

katika pitapita za huku na kule niliopoa binti wa miaka 24 mlokole sana na mwimba kwaya, mtoto smart hasa rangi ya andazi na akili zake zinachaji kweli kweli.

Kwa kweli binti nilimuewa sana nikaona hakuna namna acha ni mtongoze akiridhia nifanye mpango chapu nimuweke ndani.

Kweli nakumbuka nimepitia haya na yeye katika safari ya kumtaka awe mpenzi wangu ila sasa nataka kukata nae tamaa.

1: Siku niliyo muomba namba yake alikataa sana ila baada ya kumchombeza sana aliniambia nakupa namba ila sidhani kama itakusaidia chochote, pia alimalizia kwa kusema wewe inaonekana unajiamini sana na unaongea kwa msisitizo. Tukaagana.

2: Kama mwanaume niliendelea kumfukuzia ila katikati ya safari alikua ana nidisapoint sana makusudi ila alianza kujishtukizia na kuanza kuomba misamaha ya hapa na pale huku akidai sio kwamba ananikatisha tamaa.

3: Nikajua ni utoto una mzingua nikala zangu buyu kimya na kufuta namba zake, zikapita week mbili hatutafutani kabisa, siku ananitafuta akawa ananilaumu kuwa nimeamua kumpotezea ila yeye ananikumbuka sana ila alikua anaogopa kunitafuta nikakausha zangu kisela

4: Kama kijana single nikasema akijileta tena na mkumbushia ila mwisho wa siku alinijibu..
-Tuwe marafiki nika mkatalia katu katu,
- Alijibu pia labda anipe rafiki yake nikamjibu mm nikutongoze wewe alafu unidharau kiasi hicho ni kala buyu tena bize na mambo yangu

5: Safari ikaendelea namna hii baada ya muda akawa ananitafuta na kunijali huku akidai kanimiss sana , nikimwambia aje gheto au tuonane sehemu hataki nikaona anacheza na hisia zangu nikampotezea mazima.

6: nikikumbuka huko nyuma aliwahi nambia sio kwamba ananikatisha tamaa nikasema acha nimkumbushie , ndugu zangu hakika mambo ya kawa hovyo tena majibu yake mara ni asante, mara ni hapana .

7: Jibu la mwisho alilonijibu ni kwamba najua unanipenda na unania nzuri na mimi ila "hapana", japo "nikimchombeza kidogo anasema nashukuru sana na ninakupenda pia"

- japo nikimchombeza chombeza anaonekana analainika kabisa but ndiyo hivyo wakuu nashindwa kumalizia hapa au ku move on kwa huyu binti

8: mimi kama mwanaume nikaona asinipotezee muda acha nijilipue mazima, nimemuambia msimamo wangu kwake kuwa namtaka awe mke wangu na nataka ajibu kwa mara ya mwisho ni ndiyo au hapana , cha kushangaza mpaka sasa hajanijibu chochote . Na mimi nimepiga kimnya simtafuti wala yeye hanitafuti na subiria jibu moja tuu kwake na nimempa muda afikirie ila hakuna majibu yeyote toka kwake.

Nimepoteza naye miezi nane mfululizo nikimfukuzia bila majibu yeyote ya kueleweka. nia yangu kweli ni kumuoa yeye ndugu zangu. mpaka nakuja kuandika hapa nafikiria kumtongoza rafiki yake na nimle kabisa maana hawezi kucheza na akili yangu mimi kama mwanaume.

Naombeni ushauri wenu wakuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mara yako ya mwisho kujiangalia kwenye kioo ilikua lini?
Inawezekana ni shetani mwenyewe anakuona hivyo kupitia ulokole wake ila haujijui tu.😃
 
Sasa atamjuaje kama virgin
Kama binti ni bikra endelea kupambania usikate tamaa, mabinti ambao bado hua wana hizo swaga na siku akikupea utasahau yote ila kama hana bikra achana nae na drama zake.
A
 
Back
Top Bottom