Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

Bro Mwanamke akikucheat hatakiwa kudamehewa na ukimsamehe atakuzalau zaidi Pili chuo hawez pata mwanamke wa kumuoa wachache sana pole nakuomba tu umove on japo utaumia ila ndo unajenga misingi hapo
 
Habari wana JF,

Nina demu wangu tulikutana chuo toka mwaka wa kwanza, tulikua tunapendana sana zaid ya sana kipind hiko hali yangu ya kiuchumi ilikua ni ndogo mno, nlikosa boom kila kitu kikawa vurugu aliplay part kubwa kuniasaidia vitu kama chakula n.k,

Kiukweli mawazo yangu ni kua sku ntakuja kumuoa maana hadi kwa wazaz wangu nlimtambulisha wakawa wanamfahamu.

Tukamaliza chuo vizuri, yeye akarud dar mimi nikarud mkoani, tukawa tunaendelea hivo hvo kuna sku akaniambia kua amenicheat akanielezea mkasa wote kua alilala na ex wake wa zaman kwamba imebdi aniambie sabab nafsi inamsuta sku zikapita nkamsamehe, then ikawa anaanza tendency ya kulalamika kua mm simtunzi anataka nae afanane na wanawake wengne wanavyotunzwa nikawa nampanga kila sku kua anivumilie ntapata kaz yataisha lkn wapi kila sku ni kero na kero.

Juzi juzi hapa nmekuja dar kwa ajil ya kutafta kaz na mambo mengne, bas hali imezdi kua mbaya dharau zmezdi, anakasrka hovyo vitu vdogo vinakua ugomv, kila nkimuomba abadilike inakua vgumu, had anasema kua tunapotezeana mda, na tukigombana kdgo tu anasema tuachane ni mm ndo ninaomba kila sku asiniache, ata kufanya mapenz ananikwepa mno sabb nyingi.

Kwa wazoefu ndugu zangu naomben ushauri nifanyaje mm, nmuache tu aendelee na maisha yake au niendlee kutafta kazi na maisha niskubali kumuachia au nifanyaje maana kwa kwel imenibidi niwe muwazi sabb hili swala linasumbua akili mno.
Achana naye utapata wa kwako mkuu. Yaani anashindwa kukuacha ivyo anatafuta sababu.pole Sana pia. Wekeza kwa maisha yako,achana na ke ,hao ukiwa na hela ni suala la kuchagua unayemtaka. Tumia iyo Kama maumivu ama hasira ya kutafuta maisha. Yaani msahau. Kama vipi vaa ndomu piga k1 hapo sewa ama kimboka maisha yaende.
 
simtunzi anataka nae afanane na wanawake wengne wanavyotunzwa
Hypergamy is baked into the female brain. It works ruthlessly and swiftly. If she sees a better option, she won't hesitate to jump from her current branch to a higher branch, just like how your girl did.
 
Wewe dogo acha upumbavu, narudia tena acha upumbavu na uniskilize kwa makini!,

Umemaliza chuo huna Kazi, huna intern hata sehemu ya kujishikiza huko hapo unahangaika demu ambaye hakutaki na anataka muachane hauoni kuwa unafanya ujinga??

Muda huu ulipaswa uwe unapambana na kutafuta kazi,
Kufanya vibiashara vidogo vidogo,
Kutafuta hata internship (kutafuta experience),
Kutafuta scholarship ujiendeleze kielimu zaidi ya hapo ...

Lakini badala yake akili ya utoto ya kichuo bado haijakutoka ..unapambania mahusiano ambayo hata haujui yana husiana na nini???

Siku aliyokwambia ameku cheat alitaka wewe ndio ufanye maamuzi ya kumuacha, ili awe free maana anashindwa namna ya kukutamkia kuwa hakutaki na kashapata wengine(yes ni zaidi ya mmoja),

Kuna wanawake billion+ still unaamni kuna scarcity??????
 
Achana nae kama huna hela. Wanawake wapo tuu na uzuri wapo tayari kutupa mbususu pale ukiwa na mihela.

Wee jikite katika kutafuta kazi then utakuwa unabadili mbbususu utakavyo
Huu ushauri laiti kama vijana wangekuwa wanaufuata basi wasingekuwa wanaanzisha thread za kulalamikia wanawake hovyohovyo, leo asilimia 80 ya threads nilizozicheck members wengi wanalalamika kuhusu mambo haya kuna mdau kaanzisha thread eti kakataliwa na wanawake zaidi ya 50 darasani kwao huko chuo...Jamani ndugu zangu pesa ina nafasi kubwa sana katika mapenzi usidate kama haupo financially stable utakufa na kihoro bure. Mwanamke yeyote anajiona queen pale ambapo atakuwa na mtu mwenye,kama nafasi ya kuzipata pesa zipo either ni msomi unasubiri ajira basi subiri kwanza upate ajira ndio udate bila hivyo utaumia sana maisha haya
 
Kabisa mkuu yaani hawa warembo weakness yao hela tuu unajilia mbususu tofauti tofauti na wala hawanaga shida kushare mgegegdo ndio uzuri wao
 
Habari wana JF,

Nina demu wangu tulikutana chuo toka mwaka wa kwanza, tulikua tunapendana sana zaid ya sana kipind hiko hali yangu ya kiuchumi ilikua ni ndogo mno, nlikosa boom kila kitu kikawa vurugu aliplay part kubwa kuniasaidia vitu kama chakula n.k,

Kiukweli mawazo yangu ni kua sku ntakuja kumuoa maana hadi kwa wazaz wangu nlimtambulisha wakawa wanamfahamu.

Tukamaliza chuo vizuri, yeye akarud dar mimi nikarud mkoani, tukawa tunaendelea hivo hvo kuna sku akaniambia kua amenicheat akanielezea mkasa wote kua alilala na ex wake wa zaman kwamba imebdi aniambie sabab nafsi inamsuta sku zikapita nkamsamehe, then ikawa anaanza tendency ya kulalamika kua mm simtunzi anataka nae afanane na wanawake wengne wanavyotunzwa nikawa nampanga kila sku kua anivumilie ntapata kaz yataisha lkn wapi kila sku ni kero na kero.

Juzi juzi hapa nmekuja dar kwa ajil ya kutafta kaz na mambo mengne, bas hali imezdi kua mbaya dharau zmezdi, anakasrka hovyo vitu vdogo vinakua ugomv, kila nkimuomba abadilike inakua vgumu, had anasema kua tunapotezeana mda, na tukigombana kdgo tu anasema tuachane ni mm ndo ninaomba kila sku asiniache, ata kufanya mapenz ananikwepa mno sabb nyingi.

Kwa wazoefu ndugu zangu naomben ushauri nifanyaje mm, nmuache tu aendelee na maisha yake au niendlee kutafta kazi na maisha niskubali kumuachia au nifanyaje maana kwa kwel imenibidi niwe muwazi sabb hili swala linasumbua akili mno.
Tafuta ela achana na mapenzi bila ela utaendelwa kuwa maskini na stress juu
 
Unampotezea tu muda dada wa watu amekuvumilia tangu mnasoma mpaka leo na hakuna cha maana anachokiambulia kwako.
 
Huu ushauri laiti kama vijana wangekuwa wanaufuata basi wasingekuwa wanaanzisha thread za kulalamikia wanawake hovyohovyo, leo asilimia 80 ya threads nilizozicheck members wengi wanalalamika kuhusu mambo haya kuna mdau kaanzisha thread eti kakataliwa na wanawake zaidi ya 50 darasani kwao huko chuo...Jamani ndugu zangu pesa ina nafasi kubwa sana katika mapenzi usidate kama haupo financially stable utakufa na kihoro bure. Mwanamke yeyote anajiona queen pale ambapo atakuwa na mtu mwenye,kama nafasi ya kuzipata pesa zipo either ni msomi unasubiri ajira basi subiri kwanza upate ajira ndio udate bila hivyo utaumia sana maisha haya
Mimi nakataa huo ushauri mkuu
 
Habari wana JF,

Nina demu wangu tulikutana chuo toka mwaka wa kwanza, tulikua tunapendana sana zaid ya sana kipind hiko hali yangu ya kiuchumi ilikua ni ndogo mno, nlikosa boom kila kitu kikawa vurugu aliplay part kubwa kuniasaidia vitu kama chakula n.k,

Kiukweli mawazo yangu ni kua sku ntakuja kumuoa maana hadi kwa wazaz wangu nlimtambulisha wakawa wanamfahamu.

Tukamaliza chuo vizuri, yeye akarud dar mimi nikarud mkoani, tukawa tunaendelea hivo hvo kuna sku akaniambia kua amenicheat akanielezea mkasa wote kua alilala na ex wake wa zaman kwamba imebdi aniambie sabab nafsi inamsuta sku zikapita nkamsamehe, then ikawa anaanza tendency ya kulalamika kua mm simtunzi anataka nae afanane na wanawake wengne wanavyotunzwa nikawa nampanga kila sku kua anivumilie ntapata kaz yataisha lkn wapi kila sku ni kero na kero.

Juzi juzi hapa nmekuja dar kwa ajil ya kutafta kaz na mambo mengne, bas hali imezdi kua mbaya dharau zmezdi, anakasrka hovyo vitu vdogo vinakua ugomv, kila nkimuomba abadilike inakua vgumu, had anasema kua tunapotezeana mda, na tukigombana kdgo tu anasema tuachane ni mm ndo ninaomba kila sku asiniache, ata kufanya mapenz ananikwepa mno sabb nyingi.

Kwa wazoefu ndugu zangu naomben ushauri nifanyaje mm, nmuache tu aendelee na maisha yake au niendlee kutafta kazi na maisha niskubali kumuachia au nifanyaje maana kwa kwel imenibidi niwe muwazi sabb hili swala linasumbua akili mno.
We jamaa ww, me nakushaur achana nae kwan hich n kisingizio cha kukuacha af naona lengo la kukwambia wazwaz kuwa amecheat n muachane ndy mana lawama zimekuwa nyng coz ye alitegemea ungemwacha....
 
Ameshakuwa stress, sio mpenz tena. Piga chini
 
Siku aliyokwambia amekucheat alitaka Ukupe sababu ya Kumuacha ila sababu huna Kitu mzee ikabdi uwee zobaaaa uendelee kudate naee.. Kingine kama huna hela hilo ni tatizo lakini kuwa na mwanamke unaongeza tatizo la pili maana HAKUNA MWANAMKE ASIEPENDA HELA. hata mke na mume mwanaume uchumi ukiyumba utajua umepata mwanamke wa aina gani...!!

Achana naee komaa kupata michongo na ukipata usigeuke nyumaa mzee anza maisha mapya na mwanamke mwingine.
 
We jamaa ww, me nakushaur achana nae kwan hich n kisingizio cha kukuacha af naona lengo la kukwambia wazwaz kuwa amecheat n muachane ndy mana lawama zimekuwa nyng coz ye alitegemea ungemwacha....
Mwanaume kama huna hela unakua zuzu sana yani hata mkeo anaweza liwa nje na ukajua lakini huna cha kumfanyaaa
 
Habari wana JF,

Nina demu wangu tulikutana chuo toka mwaka wa kwanza, tulikua tunapendana sana zaid ya sana kipind hiko hali yangu ya kiuchumi ilikua ni ndogo mno, nlikosa boom kila kitu kikawa vurugu aliplay part kubwa kuniasaidia vitu kama chakula n.k,

Kiukweli mawazo yangu ni kua sku ntakuja kumuoa maana hadi kwa wazaz wangu nlimtambulisha wakawa wanamfahamu.

Tukamaliza chuo vizuri, yeye akarud dar mimi nikarud mkoani, tukawa tunaendelea hivo hvo kuna sku akaniambia kua amenicheat akanielezea mkasa wote kua alilala na ex wake wa zaman kwamba imebdi aniambie sabab nafsi inamsuta sku zikapita nkamsamehe, then ikawa anaanza tendency ya kulalamika kua mm simtunzi anataka nae afanane na wanawake wengne wanavyotunzwa nikawa nampanga kila sku kua anivumilie ntapata kaz yataisha lkn wapi kila sku ni kero na kero.

Juzi juzi hapa nmekuja dar kwa ajil ya kutafta kaz na mambo mengne, bas hali imezdi kua mbaya dharau zmezdi, anakasrka hovyo vitu vdogo vinakua ugomv, kila nkimuomba abadilike inakua vgumu, had anasema kua tunapotezeana mda, na tukigombana kdgo tu anasema tuachane ni mm ndo ninaomba kila sku asiniache, ata kufanya mapenz ananikwepa mno sabb nyingi.

Kwa wazoefu ndugu zangu naomben ushauri nifanyaje mm, nmuache tu aendelee na maisha yake au niendlee kutafta kazi na maisha niskubali kumuachia au nifanyaje maana kwa kwel imenibidi niwe muwazi sabb hili swala linasumbua akili mno.
Then live your life
 
Back
Top Bottom