Amelazimika Kunywa Maji

Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
27
Amelazimika Kunywa Maji.jpg

Ni mkazi mmoja wa mkoa wa Pwani, kama alivyonaswa na kamera ya mpiga picha wa magazeti ya Serikali, akinywa maji baada ya kuzidiwa na kiu, maji ambayo....! (sidhani kama ninahitaji kuandika lolote maana ni mengi yatokanayo na picha hiyo, kuanzia usalama wa afya hadi nani alaumiwe kwa kushindwa kuhimiza upatikanaji wa huduma ya lazima kwa binadamu - maji safi - katika eneo hili)

source: Amelazimika kunywa maji haya! - Wavuti
 
Hapo ni kanan nchi ya ahadi yenye maziwa,mkate na asali,maisha bora kwa baadhi ya watanzani
 
wakati wengine tunaadhimisha wiki ya kunywa maziwa..........

Maziwa tena
Maisha bora kwa kila Mtanzania na hapo ni kisima kilichogharimiwa na Halmashauri ya Wilaya kw agharama za milioni kadhaa kuhakikisha upatikanaji wa maji safi ya kunywa
 
wakati wengine tunaadhimisha wiki ya kunywa maziwa..........

hapo ndiyo nachoka, ikiwa watu hawawezi kumudu lita moja ya maji ya uhai ya azam ya sh 500 how in the hell can they afford a quarter a litlre of milk kwa sh 1000? still yet unasikia wapuuzi redioni na kusoma magazetini wanalaumu eti watanzania hatuna mwamko na kunywa maziwa.
 
Wili ya maziwa yenyewe inaadhimishwa Dar wala sio shinyanga au arusha na tena mjini viwanja vya mnazi mmoja
 
Katika hotuba yake (mkulu) ya kufungua semina elekezi aliwaagiza mawaziri kundaa utaratibu wa kuzunguka nchi nzima kuelezea mafanikio tuliyopata tangu miaka 50 ya uhuru. Nadhani hili ni mojawapo ya mafaninio ya wizara za maji na afya ambazo mawaziri watatulelezea kwa kina na kujisifu.
 
Unaweza kukuta huyu ni mmojawapo wa supporters wakubwa wa CCM!!!!! Hajui ni kwa sababu ya utawala mbovu wa CCM hana huduma ya maji safi hata baada ya miaka 50 ya uhuru!!!

Tiba
 
Tukiambiwa sisi ni masikini na nchi yetu ina dhiki na watu weupe tunalalamika kudhalilishwa..
 
Hapa ndo utaamini kuwa Africa Mungu alitupendelea sana kwa kuwa na kinga mathubuti.... Angekunywa mtu wa taifa kubwa break ni muhimbili.....Lakini wenzetu hapo hata taiphoid haipiti..... Asante Mungu kwa kutulinda
 
jamaa tumbo lake linafaa kwa utafiti wa kisayansi. maisha bora kwa kila mtz hayamhusu,no wonder watz wachache wanapiga kura!
 
kampeni ya unywajimaziwa wakati ya unywaji maji safi tu imetushinda sembuse maziwa waache kufanya mdhaha na maisha yetu,,,,,,,,,,,,,ila si ilaumu serikali ya sisiemu namlaumu anayekunywa hayo maji kwa kuichagua
 
hapo ndiyo nachoka, ikiwa watu hawawezi kumudu lita moja ya maji ya uhai ya azam ya sh 500 how in the hell can they afford a quarter a litlre of milk kwa sh 1000? still yet unasikia wapuuzi redioni na kusoma magazetini wanalaumu eti watanzania hatuna mwamko na kunywa maziwa.

Kunywa maziwa nasikia ni mladi wa naniiiiiiiii!!!! Nani? Nani? Nani tena vile jamani naomba anaekumbuka jina lake atubandikie hapa jamani tafadhali.
 
Back
Top Bottom