Amejificha au wamemficha?

Mmmh ila INTELLIGENCE ya nchi imefeli sana . Ipo much compromised hasa recently . Rais ana dictate terms ambazo aftermath yake tunaweza kuja kuoona baadae

Hapa ni kuomba huyu mama amalize muda wake mambo yaanze upya


Rais Samia was nightmare to our country , she lost a control and currently she does not know what else to do , ametika ukomo na nchi kwa sasa inajiendea mradi siku ziende

Samia is a nightmare to our country

The failure of the intelligence systems , total failure
 
Sasa ngoja nikuambie ndugu yangu mshana...unaweza sema Kwa Sasa jamaa wameboresha mfumo...ni kweli kabisa ila wameboresha kuaribu kabisa mfumo...Kwa Sasa ndani ya mfumo ili upate kazi pale kitengoni Wala upiti kwenye lile chekecheo lao la kila siku.
Ni kwamba jamaa wanaenda pale Lumumba na kuomba majina ya vijana wa Ccm watiifu na machawa wanawafanyia recruitment na kuwaingiza mzigoni, wengine wanawarithisha watoto wao kazi.
Mwisho wa siku mfumo mzima unafanya kazi kichama na kuweka mkazo wa kukilinda Chama pamoja na viongozi wao, wanasahau kulinda nchi pamoja na Wananchi wao.... that's way nakuambia wameboresha kuaribu mifumo.
 
Tumia akili kutambua hiyo lugha na maana yake ...

β€œHakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
Yaani yesu asijuwe ,uje uijue wewe mmatumbi ?? wapi alikuambia uitambuwe hiyo lugha ya kiswahili ??
 
nadhani hujamwelewa mtoa mada , anazungumzia kitengo cha PROPAGANDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…