Asipate taabu,arudi nyumbani anitafute nitoke naye,hatakuwa na maumivu ya moyo kwani nitatumia akili na maarifa yangu yote iku kumweka sawaHack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie
Ndio.... SI ndo maana Kuna mambumbumbiUnaenda kufumania afu unaomba ushauri wa hatua za kuchukua?
Hahahaha na kweli kumuacha hawezi ndo maana anajitia kuomba ushauri.... Angekua anauwezo wakumuacha hata ushaur asingeombaMwe! Halafu ubavu wa kumuacha hana