Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania
Kuna watu wana muda wa kupoteza eeee
 
Huyo Ni kichaa.Siku zote huwa nawashauri vijana,usije ukajisumbua eti u anaenda mfumania mpenzi wako,utakufa kwa presha.Wewe mwamini tu,muheshimu
 
Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo
Ni mpunbavu tu,kwani wakati anadukua simu ya mumewe,aliomba ushauri kwa nani
 
Bwana kuna mambo mengi ya kufanya...sotakuja fumania mtu mm ..khaa..huo muda si bora umfundishe mtoto kusoma na kuandkka💨💨💨
Inafika kipindi hujali lolote..achat usiku wa manane sawa, arudi late kila siku.. very good, sometimes unajisemea ahh si alale tu huko huko! I feel happy nikiwa alone..sijui nimerogwa aah!
 
Inafika kipindi hujali lolote..achat usiku wa manane sawa, arudi late kila siku.. very good, sometimes unajisemea ahh si alale tu huko huko! I feel happy nikiwa alone..sijui nimerogwa aah!

Hahaa alafu atokee mtu anitishe atanichukulia mume😏😏😏
 
Hana tofauti na aliechukua mkopo benk kwa kuweka nyumba bondi huku hajui huo mkopo afanyie nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom