Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
Time will tellBas mpende...!wwnzako wanatafta wa kupendwa km hivyo waolewe...ohooo
Time will tellBas mpende...!wwnzako wanatafta wa kupendwa km hivyo waolewe...ohooo
Baridi ya kujitakia, kalale ukakumbatiweusifanye hivyo
🤣🤣🤣🤣 Ngoja nitakukomesha siku moja utabaki mdomo wazi. Ngoja nikae kimya nitakuja kukupa suprise ya karne!huna lolote
No my point ni kwamba mwanamke akipenda hata akimfumania mumewe hawezi muacha ....ataishia kulia lia ...na kununa nuna wiki moja mbili baas......ukimpiga goli moja anasahau....kabisahahahaa...so kumfumania yy ndo ananpenda
MwehNo my point ni kwamba mwanamke akipenda hata akimfumania mumewe hawezi muacha ....ataishia kulia lia ...na kununa nuna wiki moja mbili baas......ukimpiga goli moja anasahau....kabisa
No my point ni kwamba mwanamke akipenda hata akimfumania mumewe hawezi muacha ....ataishia kulia lia ...na kununa nuna wiki moja mbili baas......ukimpiga goli moja anasahau....kabisa
OkInategemeana mkuu...!narudia inategemeanaaa
Yaan ww ni shidaaa🤣🤣🤣🤣 Ngoja nitakukomesha siku moja utabaki mdomo wazi. Ngoja nikae kimya nitakuja kukupa suprise ya karne!
Wapi muandishi kataja basi? Fikra za kilala HOIAngeomba ushaur kabla hajapanda basi




NiacheeeeeYaan ww ni shidaaa
Niliposoma comment tu kabla ya kusoma jina tayari nikajua mwandishi ni wewe na niliposoma jina kweli ni weweAmuache sisi tumchukue
Wapi muandishi kataja basi? Fikra za kilala HOI![]()
Huwa nasemaga hiviii... Unapofikia kuhach simu, uwe umeshafanya maamuzi kuwa ukiyakuta unatimka... Yaani unatafuta tu ushahidi wa wazi ili utakapoamua usilaumiwe na yeyote, IKIWEMO NAFSI YAKO....Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo
Unachokibishia hata hakina value kwenye kinachohitajika... Apande ndege, punda, treni au chochote bado hakisaidii...Wapi muandishi kataja basi? Fikra za kilala HOI![]()
😂😂😂Nakazia AHACKUE![]()