Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo
 
Hack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie
 
Huyo mtu aliyefanya hivyo ni wa ushirombo IPI? Igulwa/katente?maganzo? Masakuloni? Bulangwa? au mtaa gani? tuanzie kwanza hapo.
 
Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania
Hii chai umeiamini??? Yaani km 1000 kabisaaa?
 
  • Kicheko
Reactions: ram

Similar Discussions

Back
Top Bottom