Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo


Mimi nimpongeze sana kwa sababu amepata alichotaka, maamuzi yanabaki kwake mwenyewe!
 
Huko ni kukosa maarifa/busara/hekima. Muache avune alichopanda.
 
Hajachakazwa
Maana wengi wakienda kufumania kibao kinawageuka
 
Sasa akimuacha atakwenda kuolewa na padri!!!... wanaume wote tupo hivyo...tena amshukuru mumewe amemuheshimu kweli kaenda kufanya uzinzi wake mbali km 1000...maana kuna washenzi wanabamizia madem vitanda wanavyolala na wake zao...
 
Ha haa maninaaa toa hiyo biringanya hapo
😂😂😂😂😂Imejitype tu jaman 😂 kwann nistoe emoji hii nyingine iwe biribganya tu😂😂😂😂😂🍆🍆🍆🍆🍆💨💨💨🙆🙆🙆🙆🙆🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊
 
😂😂😂😂😂Imejitype tu jaman 😂 kwann nistoe emoji hii nyingine iwe biribganya tu😂😂😂😂😂🍆🍆🍆🍆🍆💨💨💨🙆🙆🙆🙆🙆🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊
Halafu mwenzio am in love..yaani ile in love haswaaaaaa, basi nateseka vibaya mno. Nipe pole!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom