minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Habari zenu ndugu wana janvi, kuna jamaa yangu amemaliza chuo tangu mwaka 2009 lakin hajawah kupata kaz, nimemshauri aendelee kuwa mvumilivu lakin namuona kakata tamaa kabisa, nipen mawazo yenu nimshauri nin aweze kurudi ktk hali ya kawaida.