Ama kweli ndugu yangu kakata tamaa ya maisha

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Habari zenu ndugu wana janvi, kuna jamaa yangu amemaliza chuo tangu mwaka 2009 lakin hajawah kupata kaz, nimemshauri aendelee kuwa mvumilivu lakin namuona kakata tamaa kabisa, nipen mawazo yenu nimshauri nin aweze kurudi ktk hali ya kawaida.
 
Huyo jamaa yako alisoma kozi gani??Hiyo itarahisisha watu kutoa ushauri.
 
minze manonu pole na huyo jamaa ako. Jibu kwanza swali la BHULULU hapo juu ili watu waweze kutoa ushauri. ukiweza andika pia yuko mkoa gani watu wanaweza toa idea za fursa tofauti.

Naomba nami niwe parasite niombe ushauri wa jamaa angu ambaye naye kakata tamaa ya maisha humu humu kwenye thread yako kuliko kuanza ingine.
 
Habari zenu ndugu wana janvi, kuna jamaa yangu amemaliza chuo tangu mwaka 2009 lakin hajawah kupata kaz, nimemshauri aendelee kuwa mvumilivu lakin namuona kakata tamaa kabisa, nipen mawazo yenu nimshauri nin aweze kurudi ktk hali ya kawaida.

kakaa tamaa vipi, wewe umejuaje kama amekata tamaa?..kukata tamaa si mchezo, anaweza kununua kitanzi si muda. amesoma course gani, chuo gani? Tatizo la mitaala ya vyuo vyetu haifundishi elimu ya kujitegemea, na course nyingi zinaelekeza kuajiriwa tu na si kujiajiri, mwambie afumbue macho...ajitambue, fursa ziko nyingi, akiexplore upande wa pili atashangaa hata kwa nini alikuwa anahangaika na ajira! Tuanzie kwanza kwenye profession yake ndiyo ushauri wa kushiba utaanzia hapo!
 
Fursa zataka mtaji.
Sisi wana wa wakulima, lah.

Mie namshauri asichagua kazi... Kama kamaliza chuo aendew mashuleni hasa Secondary aombe kujitolea kufundisha masomo aliyosomea. Ama aende katika Kampuni ama Mashirika kulingana na Course alizosomea aongea kujitolea. Kutoka hapo atapata new ideas na kukutana na watu mbalimbali. Asifikiri.kazi zinakuja kumfuata nyumbani.

Ni ushauri wangu CL.....
 
Anunue bastola ajirestishe in peace kama kakata tamaa ya maisha
 
Ikishindikana ajiajiri kwenye biashara ndogo ndogo awe na malengo,

Nyie jamaa zake mnaweza msaidia mtaji kidogo

Mie namshauri asichagua kazi... Kama kamaliza chuo aendew mashuleni hasa Secondary aombe kujitolea kufundisha masomo aliyosomea. Ama aende katika Kampuni ama Mashirika kulingana na Course alizosomea aongea kujitolea. Kutoka hapo atapata new ideas na kukutana na watu mbalimbali. Asifikiri.kazi zinakuja kumfuata nyumbani.

Ni ushauri wangu CL.....
 
tatizo la Tanzania mtu akimaliza chuo anataka afanye kazi ofisin akae kwenye kiti na ata kazi alizoomba ni hizo tu.

kumaliza chuo haimanishi ufanye kaz za ofisin tu
 
tatizo la Tanzania mtu akimaliza chuo anataka afanye kazi ofisin akae kwenye kiti na ata kazi alizoomba ni hizo tu.

kumaliza chuo haimanishi ufanye kaz za ofisin tu
Duh sasa mbona una sema hvyo.kwan umemshaur biashara kakataa.au?
 
Kamwambie aende wilayani aongee na wakuu pale apatiwe trecta, akodi eneo akalimd, baada ya mwaka aje hapa kuleta shukrani ya mavuno. atatoka
 
Mwanaume anakataje tamaa.mwambie jamaa yako fursa ni nyingi sio lazima aajiriwe na mwanaume mwenzie ndio aweze kuishi! aache kujiupgrade na ka degree kake!
 
aende kariakoo anunue tenga la mananas au maembe awe anayuza kwa kumenya mtaji hata 10000 inatosha
 
Chuo kikuu?,chuo cha ualimu? Chuo cha VETA? Changanua kwanza hapo tutoe hekima zetu.
 
Rafiki yangu alisoma Makelele degree ya Swiming na anafanya kazi bank sembuse yeye aliyesoma Tz mwambie asikate tamaa kabisa.
 
asiwe mwepesi wa kukata tamaa,ajaribu kuomba mashuleni au kwenye vyuo kulingana kozi alizosoma,naamini akifanya hivyo atapata kazi.
 
Kamwambie aende wilayani aongee na wakuu pale apatiwe trecta, akodi eneo akalimd, baada ya mwaka aje hapa kuleta shukrani ya mavuno. atatoka

Mwaka huu watu wengi walijiajiri kwenye sekta ya kilimo, wamevuna mpunga mwingi sana hasa katika mabonde ya kilombero baada ya kuona watu wamevuna mpunga mwingi serikali ya sio sie mie ikafunga mipaka ya nchi jirani na kupiga marufuku kuuza mchele nje matokeo yake mpaka leo hii mpunga unanyeshewa na mvua na unaoza kwani hata maghala ya mashine za kukoboa mpunga yamejaa ANGALIA SERIKALI INAVYO WAHUJUMU RAIA WAKE sasa vijana kama huyo wakimbilie wapi?
 
Back
Top Bottom