Ama kweli ndugu yangu kakata tamaa ya maisha

kama yuko bongo aende hapo wizara ya kazi huwa wanawasaidia kuwatafutia kazi.
 
Asikate tamaa na pia mwambie asichague kazi. Vyuo mbona siku hizi vingi! Mwambie aombe kazi ya kufundisha vyuoni. Kuna uhaba wa waalimu sana.
Habari zenu ndugu wana janvi, kuna jamaa yangu amemaliza chuo tangu mwaka 2009 lakin hajawah kupata kaz, nimemshauri aendelee kuwa mvumilivu lakin namuona kakata tamaa kabisa, nipen mawazo yenu nimshauri nin aweze kurudi ktk hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom