kumbe mie mpenzi wako?
Noted🙂 🙂
acha kumzingua zomba jamani.
Nipe ushauri wa maana.
Ukimuonjesha ndio haendi.
Bwana mimi si-fit kukushauri; maana nilishakuwa na mtu anaye nipenda sana na iligeuka karaha maana alianza kunimiliki.
Kupenda raha, lkn inatesa pale ambapo upendo wako usiporudishwa.
So bidada, lako hilo mimi simo.
am sacared!
Ndo maana natamani nimwonjeshe aende zake, labda kinachomsumbua ni ile 'ilikuwaje akanikataa?'
labda akiona 'kawaida sana' ataridhika aende. Vinginevyo ataendelea kuni-confuse hadi lini?
Safi kabisa,
Mwanamume anayepoteza muda wake kufuatialia kama kuna wenzie anakuwa hafai kabisa...
Why not fight your own battle...??
Babu DC!!
Mke wa ujana wangu, usithubutu kumsogelea yule zombie uliyenambia. Mi kwenda gerezani na umri huu sitaki. Be warned!Kongoshoooooo
wapi mwaJ
wapi snowhite
tuliiimba weeeeeeeeeeeeeeee ukataka kuturushia mawe....
Lakini acha nikupe experience yangu mama....zombie hafai...usithubutu kum-upgrade zombie atakuja kukusumbua wengi wanacommand...amri tu na wanahisi kama wana mamlaka fulani yaani kuwa juu yako....
Lakini haimaanishi kuwa mazombie wote wako hivyo kwa hiyo akili kichwani mwako....inawezekana uwepo wake mpya ndo unakuletea confusion...
Ila pia uliyenae ana msimamo gani wa mbeleni? Usije kuwa na mtu jiaka kumi nyie mnagegedana tu hakuna direction. hebu keti nae zungumza nae ana mpango gani na step ya pili kati yenu na ni lini sio kuzeeshana vikojoleo tu bila sababu.......
Ila we make our own destiny...unakoelekea unahitaji maombi na utulivu wa hali ya juu...unaweza kuruka kojo ukatelezea kwenye nnya...... Usiamue kwa kuwa unasimamia biashara zake...usiamue kwa kuwa ulonae mko muda mrefu... Unapoamua jiulize je huyu ndo mwanaume wa kufa na kuzikana? Huyu ndo ambaye kila nikiamka nakutana na sura yake? Unaionaje kesho yake?
Uwiiiiiiii
acha nikachekee nje
Dark City unaona mambo hayo???
Hehehehehe kwisha habarrrr ake....Mi naamini kabisa Kongosho kalegezwa!!!!
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)
Kongoshoooooo
wapi mwaJ
wapi snowhite
tuliiimba weeeeeeeeeeeeeeee ukataka kuturushia mawe....
Lakini acha nikupe experience yangu mama....zombie hafai...usithubutu kum-upgrade zombie atakuja kukusumbua wengi wanacommand...amri tu na wanahisi kama wana mamlaka fulani yaani kuwa juu yako....
Lakini haimaanishi kuwa mazombie wote wako hivyo kwa hiyo akili kichwani mwako....inawezekana uwepo wake mpya ndo unakuletea confusion...
Ila pia uliyenae ana msimamo gani wa mbeleni? Usije kuwa na mtu jiaka kumi nyie mnagegedana tu hakuna direction. hebu keti nae zungumza nae ana mpango gani na step ya pili kati yenu na ni lini sio kuzeeshana vikojoleo tu bila sababu.......
Ila we make our own destiny...unakoelekea unahitaji maombi na utulivu wa hali ya juu...unaweza kuruka kojo ukatelezea kwenye nnya...... Usiamue kwa kuwa unasimamia biashara zake...usiamue kwa kuwa ulonae mko muda mrefu... Unapoamua jiulize je huyu ndo mwanaume wa kufa na kuzikana? Huyu ndo ambaye kila nikiamka nakutana na sura yake? Unaionaje kesho yake?
Uwiiiiiiii
acha nikachekee nje
Dark City unaona mambo hayo???
Hahahahaha Kongosho huyoooooooooo anajipeleka mwenyewe kwa zombieanajua kuna mwenyeji ila hajali, na anaendelea na maisha yake kama hayupo na hamwulizii wala kumwongelea.
Mwenyeji hajui kuwa ni ni 'gold' kaibua, so yupo yupo kama kashikiwa akili.
mmh; haya.
Tupia tupia tu, nisije uvaa mkenge.
Of course I will. Mtambuzi kishaniahidi contessa chupa mbili.