Noted Mkuu.
Kima cha chini Tshs 50,000 usisahau.
Kale kavazi nlikokununulia siku ya Valentine utakavaa lini tena? Achana na mazombie bana...
![]()
Hivi kumbe bado unadeka eh? Sasa unaniangalia nini....hahahaha sijazipata zote labda walimpelekea bibi afu ww ndo gani hizo za kutununulia wajukuu khaa!!!!!!!!!
hakuna mtu asiyependa zawadi hata kama ni big G lakini tunaangalia future yako dia na huyo mtu,halafu asikwambie mtu hivyo vizawadi yawezekana ukimkubali hautaviona tena hawa wanaume waache kama walivyo sahizi atajipendekeza akulambe hadi unyayo subiri akutie kwapani utaisoma no.
Hivi kumbe bado unadeka eh? Sasa unaniangalia nini....
![]()
watoto sina tabu kabisa kulea, kama wangu tu.
Tatizo ni kusema 'su'
Hi we binti, huo ndio ulalaji gani?Ni kweli usemalo... Kabla hajakupata weeee utabembelezwa kuliko mtoto, akikupata tu ndo mwishowe!
Kama hutojali ningependa ufafanue kidogo.hivi Kongosho wewe ni mwanamke kweli?
Haya bana, ila nimelipenda pozi lako.....hujatulia ww au ukaguzi wa siku ya ukaribisho umekutia wazimu Asprin maana mmmmh
hakuna mtu asiyependa zawadi hata kama ni big G lakini tunaangalia future yako dia na huyo mtu,halafu asikwambie mtu hivyo vizawadi yawezekana ukimkubali hautaviona tena hawa wanaume waache kama walivyo sahizi atajipendekeza akulambe hadi unyayo subiri akutie kwapani utaisoma no.
Ni kweli usemalo... Kabla hajakupata weeee utabembelezwa kuliko mtoto, akikupata tu ndo mwishowe!
ujue muda si mrefu utanijazia inbox yangu kwa masihala yako.Haya bana, ila nimelipenda pozi lako.....
![]()
Mke wa ujana wangu, usithubutu kumsogelea yule zombie uliyenambia. Mi kwenda gerezani na umri huu sitaki. Be warned!
Hehehehehe kwisha habarrrr ake....
Chezeya vidume weye??
![]()
Inbox? Unanishauri twende PM au?ujue muda si mrefu utanijazia inbox yangu kwa masihala yako.