Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Ukimuonjesha ndio haendi.
Bwana mimi si-fit kukushauri; maana nilishakuwa na mtu anaye nipenda sana na iligeuka karaha maana alianza kunimiliki.
Kupenda raha, lkn inatesa pale ambapo upendo wako usiporudishwa.
So bidada, lako hilo mimi simo.

Please Kaunga ucmtose Kongosho. Mwenzio yupo njia panda.
 
Last edited by a moderator:
Ukimuonjesha ndio haendi.
Bwana mimi si-fit kukushauri; maana nilishakuwa na mtu anaye nipenda sana na iligeuka karaha maana alianza kunimiliki.
Kupenda raha, lkn inatesa pale ambapo upendo wako usiporudishwa.
So bidada, lako hilo mimi simo.


Hivi kumbe siku hizi feedback au mrejesho unahitaji ushauri??

Nisameheni kama nazeeka vibaya mwenzetu...

Ila mie nasubiri party...

Zombie ni kiboko..lol!!


Babu DC!!
 
kuna mzembe mmoja wa kisukuma ananisumbua.

Sometimes nataka kujibu yes kabisa mbele yake.

Sijui kajua, yaani anajimilikisha kimya kimya.

Utasikia ananiagiza, nenda pale kwa mama ukasimamie kuna watu wameleta mahindi lori 1, walipe kabisa nikija ntarekebisha.

Eti na mie naenda, imagine?

Hapo kwa Bold, na Kongosho ni nani?

Afu tabia yako ya kuniliza wivu nshakwambia siitaki!

Hebu twende PM kwanza tukawekane sawa.
 
Last edited by a moderator:
Ukimuonjesha ndio haendi.
Bwana mimi si-fit kukushauri; maana nilishakuwa na mtu anaye nipenda sana na iligeuka karaha maana alianza kunimiliki.
Kupenda raha, lkn inatesa pale ambapo upendo wako usiporudishwa.
So bidada, lako hilo mimi simo.
Eti Kaunga unajua kuwa nakumisi, au mpaka nikuambie?
 
Last edited by a moderator:
kuna mzembe mmoja wa kisukuma ananisumbua.

Sometimes nataka kujibu yes kabisa mbele yake.

Sijui kajua, yaani anajimilikisha kimya kimya.

Utasikia ananiagiza, nenda pale kwa mama ukasimamie kuna watu wameleta mahindi lori 1, walipe kabisa nikija ntarekebisha.

Eti na mie naenda, imagine?

Halafu bado unataka kutufanya mazoba kwamba kuna amri bado hujatii....

Hapa umenoa.....

Party ya kuhalalisha ni lini??

Can't wait ....

Babu DC!!
 
kuna mzembe mmoja wa kisukuma ananisumbua.

Sometimes nataka kujibu yes kabisa mbele yake.

Sijui kajua, yaani anajimilikisha kimya kimya.

Utasikia ananiagiza, nenda pale kwa mama ukasimamie kuna watu wameleta mahindi lori 1, walipe kabisa nikija ntarekebisha.

Eti na mie naenda, imagine?
Oh Mammmah! Na unapoenda huyo mzembe wako unayempa tunda bila shuruti anakuwa wapi?

Hahahahaha! Ulishawahi kumtandikia kitanda au huwa hakutumi chumbani kwake? Hapa mzee mwenzangu Dark City atakuwa kishanielewa LOL
 
Last edited by a moderator:
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)
 
Back
Top Bottom