Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

nikitumia kichwa cha kichwani juu, jibu ni Yes, nikitumia moyo jibu ni 'yes/no'

halipi sababu ama big headed, but vinginevyo anascore B+ for a husband.

Afu unajua ku-settle nako muhimu, uongo?

Tumia vyote. Endelea kumpa tundi
 
nikitumia kichwa cha kichwani juu, jibu ni Yes, nikitumia moyo jibu ni 'yes/no'

halipi sababu ama big headed, but vinginevyo anascore B+ for a husband.

Afu unajua ku-settle nako muhimu, uongo?


Kanyaga twende Kongosho...lol!!

Mie nitakuwa deputy wa MC kwenye siku ya kuhalalisha....

Zombie hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!



Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
napanga nimpe March, am too old kudanganya nikitoa tundi.

Ningekuwa nimempa, nisingeshangaa ni aje ana-gain power, hudhani hivyo?

Hivi wewe Nicas Mtei uko je?

Ulishawahi kukutana na mwanamke anasema kuwa kagawa kidude??

Siku zote huwa hawatoi...hata huyu Kongosho hajatoa na hatakaa atoe..

Hapa anatupigisha stories tu...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nikitumia kichwa cha kichwani juu, jibu ni Yes, nikitumia moyo jibu ni 'yes/no'

halipi sababu ama big headed, but vinginevyo anascore B+ for a husband.

Afu unajua ku-settle nako muhimu, uongo?
kweli best tulizana,kwani ulishawapa wangapi? endelea kujaribu kama haipo haipo tu
kusetle muhimu
try!usije jilaumu
 
Mzee mwenzangu,

Hadi leo hujui kwa nini watu hutembeza CV au kuomba CV kabla ya kupewa majukumu??

CV ya Zombie ni kiboko.....He know what he needs and how to get it...


Babu DC!!
Mzee mwenzangu umesema sawia, hebu msome binti mwenyewe alivyotiririka.... Kongosho kwishney!!

Dah, mficha ugonjwa kifo humuumbua, yamenifika bora niseme. Nimeanza kuwa mzembe wa kufikiria lately? Sijajua.

Am torn btn 2, sijui nimwache aliyepo? Sijui niondoke na zombie? Kaunga sasa naelewa mada ya zile semi zako za juzi.

Zombie ana-gain power over me bila kujijua, ameanza kunitreat kama 'mkewe' (wakati hata tundi hajapata??.) Ameanza kwenda hata home kwetu na kupiga story na wazee, baadhi ya shughuli zake ananiachia nisimamie, damn au kanichukulia hg? Haombi tena, ananiamuru, nashangaa nakubalije kutumwa jamani?
Namzidi zidi hivi lakini yuko full responsible, seriously, napenda anavyo-act like a man.

Tatizo, simfeel kivile kabisa, will I ever learn to like him? Nifumbe macho nimpe mara moja labda ataridhika aende zake? Je nikimpa ndo akang'ang'ania??? (Gademu)

Kipi bora? Kuishi na mtu anayekupenda lakini wewe unajifunza kumpenda? Au kuishi na mtu unayempenda na huna hakika kama anajitihada za kujifunza kupenda?

Kuna Dark City na kundi lake siwataki hapa.

Updates: zombie ni mtaliki mwenye watoto 2 under 10.

Zombie kilaiiiiiiiiiiiiiiiiini!!

Hebu niitieni lara 1
 
Last edited by a moderator:
noted with Thanks!

The choice is yours Peace of Mind au Furaha ya moyo wako...

Kama unaweza kujifunza kupenda choice ya anayokupenda ni bora zaidi sababu utabadilisha one way love into two way (Perfect Couple)

Kama huwezi kujifunza kupenda choice ya kwanza ni bora lakini ni gamble kama hatakupenda kamwe anaweza kuleta visa hence kukusumbua akili, na kukuumiza roho kupelekea hata feelings za mwanzo ulizonazo kwake kufa... "Even The Strongest Feeling Expires when Ignored.."
 
Mzee mwenzangu umesema sawia, hebu msome binti mwenyewe alivyotiririka.... Kongosho kwishney!!



Zombie kilaiiiiiiiiiiiiiiiiini!!

Hebu niitieni lara 1

Naona sasa supu imefanya kazi vizuri....

Tuendelee kupata ushuhuda wa Kongosho....

Kesi ndo imeanza..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukimuonjesha ndio haendi.
Bwana mimi si-fit kukushauri; maana nilishakuwa na mtu anaye nipenda sana na iligeuka karaha maana alianza kunimiliki.
Kupenda raha, lkn inatesa pale ambapo upendo wako usiporudishwa.
So bidada, lako hilo mimi simo.
 
napanga nimpe March, am too old kudanganya nikitoa tundi.

Ningekuwa nimempa, nisingeshangaa ni aje ana-gain power, hudhani hivyo?

Too old inaanzia miaka mingapi??


Kwangu mmbado sana kuingizwa mkenge Kongosho!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom