Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

napanga nimpe March, am too old kudanganya nikitoa tundi.

Ningekuwa nimempa, nisingeshangaa ni aje ana-gain power, hudhani hivyo?

Hahahahaha....thats very funny!

Wait..March is jus FIVE days to come....

MEN love a good challenge...kama hajakutamkia nia yake kwako chochote kizuri afanyacho kwako ni mbwembwe tu...ukishampa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 114:
 
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)
Kwa Zombie hiyo haijalishi. Na bahati nzuri sana kwa zombie ambayo ni bahati mbaya sana kwa mzembe, Mzembe hajaambiwa lolote kuhusu Zombie. STUKA!!
 
age yangu


Yaani na wewe unaweza kusema kuwa uko too old?

Labda kama unaongea na wale watoto wa Chang'ombe wanaocheza mdako...

Kwetu sisi tunaona bado hujafikisha meno 32....lol!!

Nina hakika na haya na shahidi yangu ni Bibi....Bisha tuone!!!

Babu DC!!
 
Oh Mammmah! Na unapoenda huyo mzembe wako unayempa tunda bila shuruti anakuwa wapi?

Hahahahaha! Ulishawahi kumtandikia kitanda au huwa hakutumi chumbani kwake? Hapa mzee mwenzangu Dark City atakuwa kishanielewa LOL


Tatizo watu wanasubiri eti mwanamke aliyepitia unyagoni aseme live bila chenga.....!!!

Thubutu....

Ila wenyewa wa one 1947 tulishaelewa kitambo!!

Babu DC!!
 
Yaani na wewe unaweza kusema kuwa uko too old?

Labda kama unaongea na wale watoto wa Chang'ombe wanaocheza mdako...

Kwetu sisi tunaona bado hujafikisha meno 32....lol!!

Nina hakika na haya na shahidi yangu ni Bibi....Bisha tuone!!!

Babu DC!!
huwa napata shida sana kuwaambia watu miaka yangu
uzee huu naitwa mtoto? nimedumaa tu jamani
 
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)


Achana na Zombie wewe,

CV wanazo ana wanajua kuprove kweli kwamba ni zao...

Hawavai kijani na kuwanza kuimba mipasho hao...they are very strategic...

Shahidi.. Kongosho!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
do you think so?

Ndo najiandaa, nimeona niongee kabla sijafanya lolote.

Si unajua jambo likiwa kwa mwingine rahisi sana.

Kanyaga twende Kongosho...lol!!

Mie nitakuwa deputy wa MC kwenye siku ya kuhalalisha....

Zombie hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!



Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo watu wanasubiri eti mwanamke aliyepitia unyagoni aseme live bila chenga.....!!!

Thubutu....

Ila wenyewa wa one 1947 tulishaelewa kitambo!!

Babu DC!!
Mzee mwenzangu kilichobaki kwetu siye wa zamani, ni kumfunda Kongosho jinsi ya kuishi na watoto wa kambo.

Awapende watoto wa mwanamke mwenzie.
 
Last edited by a moderator:
umbea huo, nani kakwambia u-hailait?

Mzee mwenzangu umesema sawia, hebu msome binti mwenyewe alivyotiririka.... Kongosho kwishney!!



Zombie kilaiiiiiiiiiiiiiiiiini!!

Hebu niitieni lara 1
 
Last edited by a moderator:
huwa napata shida sana kuwaambia watu miaka yangu
uzee huu naitwa mtoto? nimedumaa tu jamani


Haya basi nakubali kwamba na wewe ni mzee...lol!!

Hivi watoto wa siku hizi mmeambiwa na nani kwamba uzee ni kitu kizuri??

Subiri siku gari likianza kukuzimikia zimikia njiani ndipo utajua uzee...

Babu DC!!
 
kumbe mie mpenzi wako?

Noted🙂 🙂

Acha kunichekesha wewe Sefet.....

Hivi mpenzi wako akikwambia uwa anamchukia sana mtu fulani wewe unachekelea??

Wenzio ni wa 1947....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom