Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,388
Kwani hadi sasa hajapewa??
Babu DC!!
Babu DC
Kama ni kuku hapa naona kashadumbukizwa kwenye maji ya moto..
mda si mrefu kama bado utakuta manyoya kwenye jalala!!
Kwani hadi sasa hajapewa??
Babu DC!!
kwani ni hicho kipochi manyoya utamu tu anataka kwako?am sacared!
Ndo maana natamani nimwonjeshe aende zake, labda kinachomsumbua ni ile 'ilikuwaje akanikataa?'
labda akiona 'kawaida sana' ataridhika aende. Vinginevyo ataendelea kuni-confuse hadi lini?
kasema hajampa babu
au ni wewe na ameshakupa?
Naona jitihada za Zombie zinakaribia kuzaa matunda... Penye BLUE ujue ukimpa tu ndo sawa na ndoa yani. Atajihalalishia tundi. Na hutaweza kumnyima tena.
Hapo kwa Bold, na Kongosho ni nani?Dah, mficha ugonjwa kifo humuumbua, yamenifika bora niseme. Nimeanza kuwa mzembe wa kufikiria lately? Sijajua.
Am torn btn 2, sijui nimwache aliyepo? Sijui niondoke na zombie? Kaunga sasa naelewa mada ya zile semi zako za juzi.
Zombie ana-gain power over me bila kujijua, ameanza kunitreat kama 'mkewe' wakati hata tundi hajapata. Ameanza kwenda hata home kwetu na kupiga story na wazee, baadhi ya shughuli zake ananiachia nisimamie, damn au kanichukulia hg? Haombi tena, ananiamuru, nashangaa nakubalije kutumwa jamani?
Namzidi zidi hivi lakini yuko full responsible, seriously, napenda anavyo-act like a man.
Tatizo, simfeel kivile kabisa, will I ever learn to like him? Nifumbe macho nimpe mara moja labda ataridhika aende zake? Je nikimpa ndo akang'ang'ania?
Kipi bora? Kuishi na mtu anayekupenda lakini wewe unajifunza kumpenda? Au kuishi na mtu unayempenda na huna hakika kama anajitihada za kujifunza kupenda?
Kuna Dark City na kundi lake siwataki hapa.
Updates: zombie ni mtaliki mwenye watoto 2 under 10.
refer smile bikra.Hivi wewe Nicas Mtei uko je?
Ulishawahi kukutana na mwanamke anasema kuwa kagawa kidude??
Siku zote huwa hawatoi...hata huyu Kongosho hajatoa na hatakaa atoe..
Hapa anatupigisha stories tu...!!
Babu DC!!
Hivi wewe Nicas Mtei uko je?
Ulishawahi kukutana na mwanamke anasema kuwa kagawa kidude??
Siku zote huwa hawatoi...hata huyu Kongosho hajatoa na hatakaa atoe..
Hapa anatupigisha stories tu...!!
Babu DC!!
navyomjua atang'ang'ania tuhalalishe
labda tena iwe kanisani
naogopa, it will be a nightmare.
am sacared!
Ndo maana natamani nimwonjeshe aende zake, labda kinachomsumbua ni ile 'ilikuwaje akanikataa?'
labda akiona 'kawaida sana' ataridhika aende. Vinginevyo ataendelea kuni-confuse hadi lini?
Unaweza kutuapia??
Babu DC!!
refer smile bikra.
Babu DC
Kama ni kuku hapa naona kashadumbukizwa kwenye maji ya moto..
mda si mrefu kama bado utakuta manyoya kwenye jalala!!
kote koteKumbe? Bikra ya wapi hiyo?
Hapo kwa Bold, na Kongosho ni nani?
Afu tabia yako ya kuniliza wivu nshakwambia siitaki!
Hebu twende PM kwanza tukawekane sawa.
Wakati mgumu unautaka mwenyewe...changamsha kichwa na utumie akili ya kichwa cha juu...
Kama kutoa, basi toa halafu usubiri matokeo.....ila kama Zombie halipi basi bana!
Babu DC!!
refer smile bikra.