Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Mshindi niko huku najipongeza.

197173_10151493526593012_1288753433_n.jpg

hapo umejipongeza au njaa inakuuma huna pesa,pa kulala tabu umeenda kulala dampo sijui stoo ya makopo?
 
andate, kweli wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
Watoto wote kazaa na mtu mmoja, na waliachana kama miaka 4 imepita, sababu sijauliza.

Mmh, kuhusu kunituma kwenye kazi zake sio ishu, nikiwalinganisha na aliyepo, mbona aliyepo ni much 'loaded with class'

zombie ni wale watu unasema, tutaanza kwa kupanga tandale, twende Sinza, ndio tuhamie kwenye slop yetu msewe. But aliyepo ni wale wa, 'baby tukaishi nyumba yangu ya tabata, au tegeta? Afu kunitupia ki vits sio ishu.

Its not abt money, hata mie japo ni baz.azi ina nafanya kazi na ninaishi tu.
Ila kwani mwanamme anatafutwa sababu ya fimbo yake au mali?

Swali hili sitaki kulijibu, kwa sababu hata wewe ukiulizwa utatoa jibu kutoka mdomoni na hilo jibu linaweza kuwa ni tofauti na lililoko moyoni mwako, halafu mimi sitaweza kuusoma moyo wako, hivyo sitaweza ku-prove unasosema ndio unacho-mean. Sitaki kuanzisha league ya nyingine ya kubishana.
Kila mtu abaki na jibu lake kwenye swali: mwanaume anapendewa nini, fimbo au mali?


Kwenye red, kama una nia na zombie jitahidi ujue sababu za kumuacha mwanamke aliyezaa nae watoto wawili. Ni roho ngumu mno kumuacha mama wa watoto wako wawili bila kosa la kueleweka, I m a man I know that. Na kwa maelezo yako he looks so presumptious, inawezekana yeye akawa ni tatizo.
Anyway uamuzi ni wako, so I respect whichever you decide.
 
kwikwikwikwi Kongosho waombe mods waiclose otherwise lazima tuendeleze ball tujue nani mshindi.


Nyie ndiye hamtaki kumwelewa Kongosho,

Ni kwamba keshatoa feedback, na sasa tunahamia kwenye kikao cha maandaliz ya harusi.

Mkuu Asprin anzisha uzi mwingine kuhusu maendeleo ya maandalizi ya harusi ya Kongosho na Zombie....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndiye hamtaki kumwelewa Kongosho,

Ni kwamba keshatoa feedback, na sasa tunahamia kwenye kikao cha maandaliz ya harusi.

Mkuu Asprin anzisha uzi mwingine kuhusu maendeleo ya maandalizi ya harusi ya Kongosho na Zombie....

Babu DC!!
kumbe katoa matokea ehee nani kashinda sitaki kuamini ni zombie,hata kwenye vikao msiniite labda ukumbini tu ili nimshuhudie zombie yukoje.
 
Usijali, nami niko busy. Nikitoka ntaenda kuwajoin.

attachment.php

Babu babu babu...hicho kisiwe kisingizio...amini usiamini hata mimi niko kazini saivi lakini lazima nije...!!!!

acha tu kongosho mimi huwa natamani kumchana chana mtu nichambue hadi maini nijue yupo mkweli au vipi ila ndo hivo ,mtu anakuambia a kumbe yupo q.tutalia sana duniani hapa.ndo maana nimeokoka bila Yesu kila kitu ni ubatili mtupu
mtu akiwa anamendea kipochi utamu ,anakuwa zaidi ya malaika,mpe uone

but i thought wewe ndo bikra pekee uliyebaki hapa JF...:shut-mouth:

najitolea kuleta keki

Keki hiyo iwe NDAFU.
 
Back
Top Bottom