Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

anajua kuna mwenyeji ila hajali, na anaendelea na maisha yake kama hayupo na hamwulizii wala kumwongelea.

Mwenyeji hajui kuwa ni ni 'gold' kaibua, so yupo yupo kama kashikiwa akili.


amzungumzie mwenyeji ili upate urahisi wa kumtimua? Hujui mazombie na teknik zao wewe eeh?
 
mmh; hivi kwa nini moyo umefunikwa?

Kwa nini usiwekwe kwenye vioo tukauona na kuusoma?

Dah!
acha tu kongosho mimi huwa natamani kumchana chana mtu nichambue hadi maini nijue yupo mkweli au vipi ila ndo hivo ,mtu anakuambia a kumbe yupo q.tutalia sana duniani hapa.ndo maana nimeokoka bila Yesu kila kitu ni ubatili mtupu
mtu akiwa anamendea kipochi utamu ,anakuwa zaidi ya malaika,mpe uone
 
Anyway, wanawake akili zenu huwa mnazijua wenyewe.

Je ulishamuuliza kuhusu hao watoto mama zao wako wapi? na imekuwaje hayupo nao?

Kwa jinsi anavyokuhudumia wewe, unadhani hao mama watoto zake wangemkimbia bila yeye kuwamwaga? au unadhani wewe ni spesho na ni tofauti na hao aliozaa nao?

Je unajua ni mbinu gani alitumia kwa hao aliozaa nao mpaka wakamwamini na kuamua kubeba mimba zake?

Naona unaongelea anakutuma kwenye mzigo wa malori na biashara zake na inaeleka zombie ana uchumi mkubwa kuliko bwana wako wa sasa hivi, na hii inaweza ikawa ndio sababu, na ndio maana unamu-ignore bwana wako wa sasa na unatumia muda mwingi kwa kazi za huyo zombie.

Kwa akili hii, kila siku mtaendelea kulalamika kuwa waume zenu wanawa-cheat, I think mna deserve hayo mateso kwa sababu huwa mnapewa nafasi ya kuchagua, na mnachagua matatizo.
mmmmh mbona maneno makali hivi halafu futa kauli yako usitujumlishe wote wakati kila mtu analalamika na kulia na matatizo tofauti tofauti,ulishasikia wanawake wote hapa jamvini wameleta mada za mahusiano zinazofanana?
 
Inbox? Unanishauri twende PM au?

Na hapo ulikuwa unafanya nini?

47366_476672972385458_1096925277_n.jpg

pm ndo sikukaribishi kabisa najua utanichafulia hali ya hewa,hapo nilienda china kujifunza zile nanihiii zao
 
acha tu kongosho mimi huwa natamani kumchana chana mtu nichambue hadi maini nijue yupo mkweli au vipi ila ndo hivo ,mtu anakuambia a kumbe yupo q.tutalia sana duniani hapa.ndo maana nimeokoka bila Yesu kila kitu ni ubatili mtupu
mtu akiwa anamendea kipochi utamu ,anakuwa zaidi ya malaika,mpe uone

Najua pa kukukamatia. Ujanja hauna
 
mmh, mapenzi si ni pamoja na kujipendekeza jamani?

Tamaa ya vizawadi sina hakika, kimatirio namzidi mbali mno, ila nachopendwa ni ule moyo wa 'sharing hata kama ana kidogo'

Mie napenda mtu anayeniletea Simla, wakati kwenye dressing table nina 'givenchy' zangu, inaonesha kujiamini na responsibility. Au wee zawadi hadi iwe gari?


hivi nilisema zombie 3- Kongosho 0????

Nafuta usemi wangu....

Zombie 5 - Kongosho 0....

Zombie kajua jinsi ya kucheza karata zake vizuri.....hali ya hatari kwa mwenyeji....
 
Last edited by a moderator:
andate, kweli wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
Watoto wote kazaa na mtu mmoja, na waliachana kama miaka 4 imepita, sababu sijauliza.

Mmh, kuhusu kunituma kwenye kazi zake sio ishu, nikiwalinganisha na aliyepo, mbona aliyepo ni much 'loaded with class'

zombie ni wale watu unasema, tutaanza kwa kupanga tandale, twende Sinza, ndio tuhamie kwenye slop yetu msewe. But aliyepo ni wale wa, 'baby tukaishi nyumba yangu ya tabata, au tegeta? Afu kunitupia ki vits sio ishu.

Its not abt money, hata mie japo ni baz.azi ina nafanya kazi na ninaishi tu.
Ila kwani mwanamme anatafutwa sababu ya fimbo yake au mali?
 
Last edited by a moderator:
mmmmh mbona maneno makali hivi halafu futa kauli yako usitujumlishe wote wakati kila mtu analalamika na kulia na matatizo tofauti tofauti,ulishasikia wanawake wote hapa jamvini wameleta mada za mahusiano zinazofanana?

Hakunaga kitu wote, anyway.
Majority ya wanawake wenye haya matatizo ambao wanatafuta counseling, ukiwahoji vizuri na ukafahamu sababu zilizowapelekea kufanya uamuzi wa kuolewa utaona kwamba makosa yalikuwa ni yao(hii ni kwenye decision making). Siongei kuhusu wanawake wa humu jamvini. Ninaongelea wale wenye matatizo.
 
andate, kweli wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
Watoto wote kazaa na mtu mmoja, na waliachana kama miaka 4 imepita, sababu sijauliza.

Mmh, kuhusu kunituma kwenye kazi zake sio ishu, nikiwalinganisha na aliyepo, mbona aliyepo ni much 'loaded with class'

zombie ni wale watu unasema, tutaanza kwa kupanga tandale, twende Sinza, ndio tuhamie kwenye slop yetu msewe. But aliyepo ni wale wa, 'baby tukaishi nyumba yangu ya tabata, au tegeta? Afu kunitupia ki vits sio ishu.

Its not abt money, hata mie japo ni baz.azi ina nafanya kazi na ninaishi tu.
Ila kwani mwanamme anatafutwa sababu ya fimbo yake au mali?

Zombie 7 Kongosho 0.
 
Last edited by a moderator:
Hakunaga kitu wote, anyway.
Majority ya wanawake wenye haya matatizo ambao wanatafuta counseling, ukiwahoji vizuri na ukafahamu sababu zilizowapelekea kufanya uamuzi wa kuolewa utaona kwamba makosa yalikuwa ni yao(hii ni kwenye decision making). Siongei kuhusu wanawake wa humu jamvini. Ninaongelea wale wenye matatizo.

anyway nimekuelewa ila nimesema wanawake wa jamvini kama example kwa sababu tuko hapa muda huu,kataa ukubali sahizi umerekebisha kauli.
 
Back
Top Bottom