Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

Sasa EMT mbona umechelewa kutoa ushauri. Wenzio tunasubiri pilau na nyama choma siku ya baba kapata Mama.
Babu Dark City hivi EMT amezeeka au anajaribu kuwa kijana?

BACK TO THE TOPIC:

Kuna wakati binti mmoja alifanikiwa kunifanya zombie kwa muda fulani. Lakini ujanja wa Uswazi ulinisaidia hatimaye.
Just cool down & calculate time partially ...........Kwa sasa yeye ndio zombie.

Na kwa hii movie Kongosho ni half zombie tayari. Mswalie mtume asije kukupiga marufuku kuingia JF.

Ni kweli kabisa,

Hakuna mtu hatari kama Zombie??

Hivi ulishasikia story za misukule ya kule usukamani ikizinduka??

Inakushikisha makali wakati ndiyo iliishi muda wote ikiomba wewe uliyeshika mpini usivute kisu...

Prognosis ya Kongosho ni grave......

Kama kuna mtu anabisha basi huyo hana macho au naye ni mteja wa Zombie somewhere else!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwako rafiki kipenzi Kongosho,
Baada ya kusoma uliyoyaandika hapa, nimegundua muda wote ulikuwa unanihadaa kwamba hautarudiana na ZOMBIE.
Kwanza machale yalianza kunicheza, baada ya kugundua kumbe ni yule mtoto wa jirani yako ndiye ambaye alimchora ZOMBIE kwenye ansa shiti yake katika mitihani ya kumaliza fomu foo mwaka jana. Nadhani alikuwa akiwashuhudia mara kwa mara mkijinafasi na kujiachia.
Sasa basi, mimi na mtani wangu snowhite tumeamua kufanya shopping ya nguvu tayari kwa maandalizi ya harusi yako.
Wasalam,
watu8

we bado unasubr mi nipo na watu8 tunafanya shopping huku
 
Last edited by a moderator:
Kwako rafiki kipenzi Kongosho,
Baada ya kusoma uliyoyaandika hapa, nimegundua muda wote ulikuwa unanihadaa kwamba hautarudiana na ZOMBIE.
Kwanza machale yalianza kunicheza, baada ya kugundua kumbe ni yule mtoto wa jirani yako ndiye ambaye alimchora ZOMBIE kwenye ansa shiti yake katika mitihani ya kumaliza fomu foo mwaka jana. Nadhani alikuwa akiwashuhudia mara kwa mara mkijinafasi na kujiachia.
Sasa basi, mimi na mtani wangu snowhite tumeamua kufanya shopping ya nguvu tayari kwa maandalizi ya harusi yako.
Wasalam,
watu8
tena mwambie kabisa tumeanza mazoez ya dansi maalum special kwa ajii yake heb mtaftie picha zetu tukiwa shopping
 
Last edited by a moderator:
Kwako rafiki kipenzi Kongosho,
Baada ya kusoma uliyoyaandika hapa, nimegundua muda wote ulikuwa unanihadaa kwamba hautarudiana na ZOMBIE.
Kwanza machale yalianza kunicheza, baada ya kugundua kumbe ni yule mtoto wa jirani yako ndiye ambaye alimchora ZOMBIE kwenye ansa shiti yake katika mitihani ya kumaliza fomu foo mwaka jana. Nadhani alikuwa akiwashuhudia mara kwa mara mkijinafasi na kujiachia.
Sasa basi, mimi na mtani wangu snowhite tumeamua kufanya shopping ya nguvu tayari kwa maandalizi ya harusi yako.
Wasalam,
watu8

Huu waraka lazima tuuingize kwenye Guiness Books of Records 2013....

Hapa lazima Kongosho avae shela tu......Liwalo na liwe, Zombie keshapiga bao!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hii ilinipita wapi hii uuuuuwih DARKCITY vibaya hvyooo
sasa Kongosho ndo niaje bana!?

Huwezi kupitwa tukio muhimu katika maisha yako kama hili....

Hivi ungesimuliwaje Zombie atakavyokuwa anatembea kuelekea kwenye madhabahu kwa mwendo wa ndombolo au kimbinda nkohi??

Haya sasa...andaa zile nyimbo zao kwao na akina Komba tujipe raha mdogo wangu!!

ahahahaha Kongosho kwisha habari yake. eeeh baana!
 
Last edited by a moderator:
ni bora uishi na huyo anaekupensa na wewe unajifunza kumpenda, uta enjoy maisha kwa uhakika wa kupendwa/kujaliwa/kuthaminiwa, hapo tena kwa watoto wawili inabidi ujue undani wake zaidi, kwamba kilitokea nini wakatalikiana, na uwe tayari kwa purukushani za malezi ya hao watoto itakapobidi.
 
Nyamayao ndo amegongelea msumari wa mwisho........zombie keshapitishwa na hivi tayari keshzpenya kweenye mtima wa Kongosho....tusubiri pilau tu.......

Ila kuna point ya msingi sana ilikuwaje hayupo na mam watoto wake.....usikute ni fupa lililomshinda mwanamke mwenzio.....
 
hapo sasa, na bado hajaweka visa vya mama mtaliki, full purukushani.
 
Nyamayao ndo amegongelea msumari wa mwisho........zombie keshapitishwa na hivi tayari keshzpenya kweenye mtima wa Kongosho....tusubiri pilau tu.......

Ila kuna point ya msingi sana ilikuwaje hayupo na mam watoto wake.....usikute ni fupa lililomshinda mwanamke mwenzio.....

Hebu acha uharibufu wewe BADILI TABIA na Nyamayao....

Wenzio tunaandaa sherehe halafu mnataka kumrudishia Kongosho akili yake???

Bahati nzuri mmechelewa..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu acha uharibufu wewe BADILI TABIA na Nyamayao....

Wenzio tunaandaa sherehe halafu mnataka kumrudishia Kongosho akili yake???

Bahati nzuri mmechelewa..

Babu DC!!

babu Dark City nilikuwa natoa angalizo la mwisho mwisho......... Hapa nasubiri color of the wedding hehehehe sorre ni color ya kitchen party, sendoff na wedding......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom