mashauzr classic on action kanga moko ndembe ndembe..
mi nashangaa bwana ninaye mie mamndenyi na dena amsi wanakata mauno, ya nini?
Lol what if is not a he
do u know him physcaly
unawezakuta ur in
love na jike jenzio
kuna mwenzio humu
alilihonga dume lenzie
laki 2
kaza pumzi mpaka akubaliane na ww...............ukishindwa ni pm nikupe matrik.com
Safi mdada funguka mwaya!! Eehee ..........
hehe naombea yasinikute hayo jamani duh hiyo kali nani huyo yalimsibu?
Soda ni mbaya kwa afya yangu.
Bia doctor wangu ameniruhusu.
Kinywaji gani nikutumie ..?
na imani hajaoa bado na nina imani pia ndio chaguo Mungu alilonipangia
Lol.......sina la kusemaKwa hiyo una ujumbe gani kwa The Boss na Excellent? Lol
hahahaa yule mwenye 25 kwa mbele
Chaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
Kipipi yaani sitaki hata aisome hii coment mana atabadilisha msimamoKhaa!!! Una utani na washawasha? Hahahaaa, alafu utapeperusha ndege wa ekselenti wajameni.......mweeh!
Kipipi yaani sitaki hata aisome hii coment mana atabadilisha msimamo
mnuso wa kwako lini mana hata mi sijaugusa mda mrefuEti wajameni, mi naomba tu ifunikwe na wino mweusi yaani!! Heheh alafu bwana mdogo changamka basi ufanye makeke, ni siku nyingi sijagusa mnuso wa harusini ujue!
mnuso wa kwako lini mana hata mi sijaugusa mda mrefu
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
naona amenikimbia au ameshachukuliwa na washawashaMi wangu ulishapitaga na hadithi za 'hapo zamani za kale'!!! Labda tusubirie round ya pili kama ikitokea lol! BTW, usisahau kama umedondokewa na kabakabana!
hahahaa yule mwenye 25 kwa mbele