Am so much in love with excellent

Am so much in love with excellent

0014054SR91.gif


dah! which means sredi inafungwa au?
 
jamani watu wengine wana bahati,kwani huyu excellent ni nani na alimfanya nini huyu mdada mpaka kampenda au wanafahamiana tofauti nahumu jf?jamani na mie afunguke mtu basi,umri wangu ni miaka 29 jamani kama yupo awe wazi huenda nafasi hii ilikuwa inamsubiri yeye
thetheth!! msanii hapa mmoja mmoja ndo mpango acha kwanza tumalishe hii shughuli ya wawili hawa then ifuate yako!
 
He he he, mawifi wa hiari tupige vigelegele, kili kili kili kili, naona huyu mwali alikuwa keshamaliza darasa la saba. kajibu haraka.
Yule wmingine alikuwa ndo anakaribia kufanya mtihani wa mwisho ndo maana majibu yale yalikuwa " am humbled" " jf never boring"
 
binti yangu feisibuku ameenda kukuitia,
subiri hapo hapo.
 
No need to engage in love wth a man whom he does not love u,and if you can't withstand living withought him you there must be somethng wrong wth u.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom