Am so much in love with excellent

Am so much in love with excellent

poa kwenye harusi yenu nitajitolea crate 100 za bia toka tbl, so msiache kunipa kadi ya mchango.

hehehe lazima upate kadi kama ndo hvyo maana nikitoka kumpenda yeye kinachofuata ni bia.
 
He he he, wanawake tunaweza.
Mtemee madini, mtemee madini hadi kieleweke. Karibu kwenye chama cha wanawa ke wafungukaji (ccww), utakuwa mwekahazina.

itabidi tu anielewe maana ndo nshapenda tena.dah nishapata na cheo cha uwekahazina ahsante kongosho,nishakaribia
 
tehe
wewe Excellent njoo hapa bana, ule msredi wa mwanzo ulikuwa mrefuu ukaupotezea
sasa bidada kakuona, lol
The world of wonders, wonders shall never end lol
 
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
jamani watu wengine wana bahati,kwani huyu excellent ni nani na alimfanya nini huyu mdada mpaka kampenda au wanafahamiana tofauti nahumu jf?
jamani na mie afunguke mtu basi,umri wangu ni miaka 29 jamani kama yupo awe wazi huenda nafasi hii ilikuwa inamsubiri yeye
 
tehe
wewe Excellent njoo hapa bana, ule msredi wa mwanzo ulikuwa mrefuu ukaupotezea
sasa bidada kakuona, lol
The world of wonders, wonders shall never end lol

Kapita mtaa huu sasa hv!! Sema NENO moja tu, kabakabana afurahi
 
0014054SR91.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom