Mtume mshenga apeleke posa!my love is so deep that i cant even explain,all i know is that a minute cnt pass by without thnkng of him
Mtume mshenga apeleke posa!my love is so deep that i cant even explain,all i know is that a minute cnt pass by without thnkng of him
Mtume mshenga apeleke posa!
Tukianzia mambo ya posa twachelwa, tupelekeni mahari tu.
Tunataka kamati ya watu 5 tu, millioni mia si pesa zipo
Lol! Nakuaminia. Hivi ile mahari kwa babake The Boss ulishaipelekaga?
pesa si tatizo na hivi mrs the boss upo basi mambo hayatoharibika. Lol
tehe
wewe Excellent njoo hapa bana, ule msredi wa mwanzo ulikuwa mrefuu ukaupotezea
sasa bidada kakuona, lol
The world of wonders, wonders shall never end lol
jamani watu wengine wana bahati,kwani huyu excellent ni nani na alimfanya nini huyu mdada mpaka kampenda au wanafahamiana tofauti nahumu jf?
jamani na mie afunguke mtu basi,umri wangu ni miaka 29 jamani kama yupo awe wazi huenda nafasi hii ilikuwa inamsubiri yeye
Pole! Mwenzio alishaoa siku nyingi na hapendi kabisa mambo ya nyumba ndogo
Mimi nitatoa Caton 250 za Whisky na 100 za champagne so kadi tafadhali
sawa najua utakuwa balozi mzuri.
how well do u know him?..manake mambo ya social network..ukikuta ni kijana mdogo wa fomu wani itakuaje?
walisema excellent ndio bujibuji....... Simalizii
Mlengwa amejibu... Kazi kwako Mdada...
Umeonaee! Hadi raha
Multiple IDz @ work.
dah! which means sredi inafungwa au?
thetheth!! msanii hapa mmoja mmoja ndo mpango acha kwanza tumalishe hii shughuli ya wawili hawa then ifuate yako!
Excellent toto hilo limejileta.