Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Have you ever being in relationship before..???I mean they say there is no love except for the first love
Have you ever being in relationship before..???I mean they say there is no love except for the first love
Have you ever being in relationship before..???
Nlivokuwa mjamzito alisema km mtoto wa kike atamwita jina fulani,kumbe ndo lilikua jina la ex wakeUnajua tunaeza kukuchukulia kiutani lakin kiuhalisia una point!! By the way nini kimekufanya uwaze ivo...amechit??? Ana mawasiliano na ex wake??? Put it straight..
Nlivokuwa mjamzito alisema km mtoto wa kike atamwita jina fulani,kumbe ndo lilikua jina la ex wake
Pole kwa yanayokusibu naona umejaribu kwa miezi sasa kila ulilofikiria, kama yupo nawe muda wote na huyo ex hayupo mji uliopo huko uarabuni sijui wapi ulisema...basi jitahidi kumuweka moyoni na kula bata nae...ila umeshaeleza mengi nyuma...Mungu akuongoze. Wengine wangechepuka, kweli unavumilia labda ile ya mvumilivu... Itakujia kwako.
ulitaka kujua ili iweje?mambo mengine ulijitakia mwenyewe..we acha kufikirua his past story.Sijui wallah najisikia huzuni sana wakati wote hapokuwa hajaonyesha dalili yyte ya kutokunopenda lakini tokea nijue kuhusu his love story nimekuwa mpweke sana
Yes am in love now and am so happy with my life infact now ht maendeleo nayaona,those days ilikua purukushani tu za mapenzi,kila siku unawaza how to impress her but now am free,nna mtu anani support,ana ni care,sina stress & am happy kwa kweli...mfano mzuri mwingine its diamond na wema n now diamond na zari...angalia anavyo shine now daysReally!asante sana pia nlitamani unijuze kama uliwahi kupenda tena kwa moyo wako wote bila kumuwaza ur ex kabisa pls
Hala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
download kitabu kinaitwa awaiting woman it will help you my sister..... unajibebesha mzigo wa bure huna mambo ya kufanya eeh yani we ulie tu.. get occupied kuna mambo mengi ya kufanya kuliko kufikiria past ya mmeoHala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
Keep wondering..Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Kwahiyo you are not happily married.... wacha kujidanganya, halafu wacha kuishi kwa hisia kwann uweze kuwa jamaa anamuwaza X wake?! Au ulipora km lulu alivyompora hamisa?!Hala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
ulilazimishwa?!Sasa kama moyo wake upo kwa X utafanyaje? Ukilia ndio utaurudisha? 80% ya watu wameoa au kuolewa na watu ambai mioyo yao iko kwa watu wengine. Ndio ukweli wa maisha. Kuliko kulia kwa kitu ambacho huna control nacho (moyo wake) kwanini usikazanie tale uliyo na control nayo (moyo wako, watoto wako, kazi zako,etc). Hakunyanyasi, hacheat unachoumia ni nini? Be good atajifunza kukupenda with time.Nahisi not loved sababu his love story imeniathiri sana hadi nahisi labda ameeowa sababu tu wakati umefika but his heart is not with me