Am happily married but feeling so lonely inside

Am happily married but feeling so lonely inside

Kama the guy haoneshi kunadilika,na anakupenda kama kawaida,na heshima ipo,so why unawaza negative?mi nilidhan ameonesha some changes..lol usipanik keep on loving ur hubby
 
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Mmy emitional tupa kuleee kuwa logical wweee ndio mkeee wake sasa shida nn x ni x it wont b next
 
Nahisi not loved sababu his love story imeniathiri sana hadi nahisi labda ameeowa sababu tu wakati umefika but his heart is not with me
And what if you are feelings are right, is there anything you can change?
 
bado mdogo sana,ndoa zinataka uwe na miaka 28 plus ndio utaweza kwenda sambamba na mawimbi yake yasiyochoka kuja tena na tena....endelea tu kukomaa taratibutaratibu!!!kwa ufupi...hakuna shida yoyote katika ndoa yako zaid ya wewe kuongozwa na hisia zako za hofu....sasa angalia hizo hisia zako zitamuharibu mwenzio,usidhani ha note hizo nyimbo zako unazosikiliza siku hizi....akibadilika ujue wewe ndio umembadilisha na kumuharibu
Kweli mkuu umriiii badooo angetakiwa anafanya UE akimbizane na sapu but ukiona nyani kazeeka...... ndiye aliyekwepa mishale mingi
 
If at all this is true,You seem really lonely.Mpaka saa saba za usiku unajibu comments za watu!!!...Ama Haupo East Africa?
 
Kama the guy haoneshi kunadilika,na anakupenda kama kawaida,na heshima ipo,so why unawaza negative?mi nilidhan ameonesha some changes..lol usipanik keep on loving ur hubby
Wewe huna ma X, au alikuoa ukiwa bikira?
Hacha kuishi kwa hisia hisia?
 
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Hebu andika kwa kiswahili nikuelewe. sorry sijaelewa kabisa
 
Hala JF,

Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage.

Sasa ikatokea nikasikia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake, Iam crying all the time feeling so lonely feeeling Iam with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahidi kumove on. Please nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.

Achana naye
 
Pole nakumbuka ulisemaga haya, mie ningeakikisha kwanza natunzika vizuri sana na pesa yake nipendeze, nile vizuri, tulee wanetu vizuri na zangu niweke benki. Maana mume sio ndugu ya mkewe. Chuma chuma tu ujipe raha...

Jngekuwa umeenda njia ya kuchepuka hapo wewe unajifanya haumtegemei Mr. Ili nawe usichumwe haswaa na wanaopenda kudowea vya waume wa watu...
Kweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke...
 
hahaaa unajipa stress tu.. wengine wanachat kabisa and life goes off, get occupied with something else.
ikifika muda wa mapenzi peaneni mapenzi like you're in your own world.
ila ukikaa kaa tu kila saa unamuwaza mtu wallah ukifija 30`s unalingana na bibi wa 60`s
 
Nahisi not loved sababu his love story imeniathiri sana hadi nahisi labda ameeowa sababu tu wakati umefika but his heart is not with me
Tittle yako inasema yu happily married...then ukaja kutuambia...you love yo hubby and he loves you too and you have a kid...ukasema tena you have been on love for two yrs....Sasa unahisi you not loved kisa tu umesikia past love story yake...unachoshikilia bango ni kwamba we only love once..

Nikuulize kwani wewe huyo hubby wako ndo mwanaume wa kwanza kufall in love with..kama sio kwa nn wewe husihisi kuwa naye anaumia kwa vile yeye sio wa kwanza kwako ila wewe ndo uajiona kuw unajua sana kuumia na past love affairs za wenzako..

Mdada jaribu kukua basi...acha hzo bhana we vipi???
 
Back
Top Bottom