- Thread starter
- #21
kabint una miaka mingapi??maelezo yako yanaonesha huna ukomavu wa maisha,unaonekana ni mteke sana kuliko hatua uliyofikia!!unahitaji kukomaa
Am 23 na ndoa ya miaka miwili na nusu
kabint una miaka mingapi??maelezo yako yanaonesha huna ukomavu wa maisha,unaonekana ni mteke sana kuliko hatua uliyofikia!!unahitaji kukomaa
Embu google sasa hivi neno 'Depressio. au deep sadness' Usome zaidi... Then ukishasoma utanchek...Sijui wallah najisikia huzuni sana wakati wote hapokuwa hajaonyesha dalili yyte ya kutokunopenda lakini tokea nijue kuhusu his love story nimekuwa mpweke sana
Sasa mda wote wa uchumba mbona hukufikiria habar hzo?? Umeolewa ndo unajiona unapendwa juu juu...labda useme hujawahi kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine kabla ya mmeo na ni yeye ndiye aliyekubikiri...vinginevyo wewe utajisikiaje mume wako akianza kuhisi kuwa bado unampenda aliyekubikiri?? Tuliza mzuka dada
Embu google sasa hivi neno 'Depressio. au deep sadness' Usome zaidi... Then ukishasoma utanchek...
Am 23 na ndoa ya miaka miwili na nusu
bado mdogo sana,ndoa zinataka uwe na miaka 28 plus ndio utaweza kwenda sambamba na mawimbi yake yasiyochoka kuja tena na tena....endelea tu kukomaa taratibutaratibu!!!kwa ufupi...hakuna shida yoyote katika ndoa yako zaid ya wewe kuongozwa na hisia zako za hofu....sasa angalia hizo hisia zako zitamuharibu mwenzio,usidhani ha note hizo nyimbo zako unazosikiliza siku hizi....akibadilika ujue wewe ndio umembadilisha na kumuharibu
Tumia tuu kiswahii dada hii lugha unayo changanyia ilikuja na meli ipotezee tuu



ilikuja na Maersk Alabama auHongera huyo ni wako na anafurah kuwa na ww kwa kuwa amekubikiri mwenyewe...hata km alimpenda huyo ex wake zimebaki kumbukumbu tu...ukichukulia ana mwanaume mwingine. Tulizana dada...kama wako atabaki na kama si wako hata ufanyeje utamkosa...time will tell the truth.Yeye ndie aliyenibikiri he is my first man na sijawahi toka nje our sex life is perfect
Muwege mnatumia tu lugha ya Nyerere hiyo ya Malikia waachieni wenyewe.Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Zen huna sababu ya kujitesa kwa yaliyopita.Hala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
Huo ni uzushi...acha kujitesa, inaelekea mmeo ni mtu mwenye msimamo lkn wewe unashikilia vitu vya kitotoI mean they say there is no love except for the first love
Hahahahahwhwhhh. Jf ina vituko.
acha ubwege,chepuka ukatoe machungu,utakufa kihoro bure...Hala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
Zen huna sababu ya kujitesa kwa yaliyopita.
Inaelekea mumeo ana mapenzi ya dhati thus why alitaka kujiua.
Unapoendelea kumhukumu kwa yaliyopita ni makosa makubwa.
Wa uongo alikuwepo?He is my first true love
kalewa,lugha za walevi hizoTumia tuu kiswahii dada hii lugha unayo changanyia ilikuja na meli ipotezee Tu,
Ushauri WA bure...
We si ndio jana ulikua unataka kufundishwa jinsi ya kumkatikia kiuno mumeo??
Mara leo una wasiwasi nae..... Mhh something wrong here!