Am happily married but feeling so lonely inside

Am happily married but feeling so lonely inside

So inazidi kuniuma kama ana mapenzi ya dhaati ilikuwa kwa his ex ivi inawezekana kuwa ya dhati na mimi au sababu ameshakua lazima aowe na kuzaa
Sio kweli,
 
Umeolewa ila uko Jf muda huu ndio maana una mawazo au amesafiri,kama yupo huu ni muda wa kulea familia.
 
Hala jf!natumai wazima wote ,ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi.ni ivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja.sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage ,sasa ikatokea nkaskia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake,am crying all the time feeling so lonely feeeling am with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahid kumove on,pls pls nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
SASA NIMEELEWA WATU WAZIMA WANA MAANA GANI WANAPOTUAMBIA TUSUBIRI HADI TUKUE KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA...2YRS BEFORE MARRIAGE, THEN ANOTHER 2YRS IN MARRIAGE...TOTAL=4YRS WITH THE SAME MAN, STILL YOU DOUBT HIM ABOUT HIS LOVE TO YOU??? SERIOUSLY???...TOO CHILDISH!!!
 
kila mtu akiaanza kufikiria mahusiano ya nyuma ya mapenz ya mtu wako lazima uumie. Hata mm huwa sitaki kukumbushia kbsa.
Unajua dada yangu ktk mapenz unaweza kuwa na mtu ambaye unampenda sana na unamhitaji ktk maisha yako, sasa ikitokea amekuacha lazima uumie sana tena unaweza kuwachukia wanawake wote au wanaume wote.
Mm naona ni was was wako tu, na pia haujiamini sbb huyo mume wako tayari mpo naye kweny ndoa na ww unajua kias gan alivyoumizwa kwahyo unayoyaona ni makovu yaliyobakia.
Cha msingi ww ni kumbadilisha na kumfanya hasau kbs. Ww ukizid kusikiliza nyimbo za huzuni za mapenz kwanza unazid kumkumbusha na kukuchukulia na ww km yule ex wake.
Achana na hizo nyimbo, muoneshe upendo na umpe mapenz moto moto mpaka asahau. Pia kuwa naye karibu, mpigishe story za vichekesho n.k muoneshe mapenz.
Lkn nawe ukiendelea kumtenga ndio kwanza unamzidishia machungu na kumkumbusha ya nyuma. Mapenz yanauma sana asikuambie mtu
 
Nadhan hii haikuanzia chuo mkuu.... Ni kwenye hizi st kayumba zetu!
 
Asante sana
 
Maisha mafupi mama..hebu enjoy to the fullest acha na cc ma ex wa mumeo
 
Thanks wallah kwa ushauri wako nimejiskia afadhali kidogo I really love and ile kufikiri tu maybe he is still thinking of his ex nakuwa so depressed
Karibu...i just wanted to share my experience coz mi na mumeo we share the same past,am sure anachowaza ndo nnachowaza mimi...mi x ashakuja mpaka na mamake turudiane nikagoma...everytime i think of my past najiskia vbaya sana & naskia km hasira n hate,so as your husband...so worry not kabisa
 
Really!asante sana pia nlitamani unijuze kama uliwahi kupenda tena kwa moyo wako wote bila kumuwaza ur ex kabisa pls
 
People do move on from past relatnships..... If he marrd u then he really did...
 
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Unajua tunaeza kukuchukulia kiutani lakin kiuhalisia una point!! By the way nini kimekufanya uwaze ivo...amechit??? Ana mawasiliano na ex wake??? Put it straight..
 
Back
Top Bottom