Am happily married but feeling so lonely inside

Am happily married but feeling so lonely inside

Wee dada,,,habari ya mahusiano na ex wake alikupa yeye au ulizipata nje. Na je aliekupa alikiwa na nia gani na wewe. Kumbuka ulichonacho wewe wenzako wanakitamani sana,,,,usiruhusu hisia hasi zikuvurugie future yako. Je,, kuna mabadiliko yoyote umeona kwa mumeo? Toka mmeoana na kuza mtoto unahisi anaku chit? Biblia inasema mke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,,,,simaanishi hasa kulitumia andiko hilo lakini,,,simulizi yako inaonesha ni hisia zako tu na wala mumeo hajaonesha kurudiana au kumpenda wake wa zamani,,,,,tafakari,,,chukua hatua,,,
 
Wee dada,,,habari ya mahusiano na ex wake alikupa yeye au ulizipata nje. Na je aliekupa alikiwa na nia gani na wewe. Kumbuka ulichonacho wewe wenzako wanakitamani sana,,,,usiruhusu hisia hasi zikuvurugie future yako. Je,, kuna mabadiliko yoyote umeona kwa mumeo? Toka mmeoana na kuza mtoto unahisi anaku chit? Biblia inasema mke ******** huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,,,,simaanishi hasa kulitumia andiko hilo lakini,,,simulizi yako inaonesha ni hisia zako tu na wala mumeo hajaonesha kurudiana au kumpenda wake wa zamani,,,,,tafakari,,,chukua hatua,,,

Asante
 
Back
Top Bottom