Am back again!

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,222
2,929
Hellow wapendwa wangu,Kwa uweza wa mungu nimerudi tena baada ya kutoonekana kwa mda,niliwamiss kupita kiasi!Baba yangu Mtambuzi,Mme wangu kipenzi Rejao,mashem wangu wote,mawifi,maswaiba zangu wote na wanajf wote hasa hapa chitcha!i love u all!
 
Last edited by a moderator:
Hellow wapendwa wangu,Kwa uweza wa mungu nimerudi tena baada ya kutoonekana kwa mda,niliwamiss kupita kiasi!Baba yangu Mtambuzi,Mme wangu kipenzi Rejao,mashem wangu wote,mawifi,maswaiba zangu wote na wanajf wote hasa hapa chitcha!i love u all!

I mic u too love
Nyie wasichana mmerudi kwa siku moja. Mmejifungua salama? Sijawaona huku wodini.
 
Miss you kweli babi wangu
karibu sana, mumeo Rejao hakuweza kuvumilia
mwone hapa chini

umri ni namba tu.jpg

Back
Top Bottom